Je, Mungu wa waislamu na Mungu wa Wakristo ni sawa?

Je, Mungu wa waislamu na Mungu wa Wakristo ni sawa?

Shuku_

Senior Member
Joined
Sep 26, 2019
Posts
174
Reaction score
216
Habari zenu wasaka tonge.
Nimefungua uzi huu ili tujuzane ukweli juu ya jambo hili.


Je! Mungu anayeabudiwa kati ya WAISLAMU na WAKRISTO ni mmoja?


Yehova vs Allah = 1 ?
 

Attachments

  • images (6).jpeg
    images (6).jpeg
    30.1 KB · Views: 13
Habari zenu wasaka tonge.
Nimefungua uzi huu ili tujuzane ukweli juu ya jambo hili.


Je! Mungu anayeabudiwa kati ya WAISLAMU na WAKRISTO ni mmoja?


Yehova vs Allah = 1 ?
haya ni maswali ya kitoto sana
why usiulize Mungu wa walokole na Mungu wa waroman ni sawa
 
Mungù wa waislamu anaapa kwa vitu kama nyota, bahari, mbingu, milima, n.k. Mungu wa Wakristo anaapa kwa jina lake mwenyewe maana hakuna kitu kikubwa na cha thamani kumzidi. Mungu wa waislam hana huruma, na wafuasi wake wanampigania ikitokea anasemwa vibaya na makafiri hata kufanya mauaji. Mungu wa wakristo anahuruma sana, ukikosea ukatubu anakusamehe ndiyo maana akamtoa mwana wake wa pekee ili afe kwa ukombozi wa mwanadamu. Anasema pia mpende hata yule adui yako. Mungu wa wakristo anapigania watu wake, wala watu wake hawampiganii Mungu wao hata kumwaga damu
 

Attachments

  • FB_IMG_1717502029876.jpg
    FB_IMG_1717502029876.jpg
    109.6 KB · Views: 13
Vipi na kuhusu Mungu wa Mayahudi, Mungu wa wapagani, Mungu wa Wahindi, Mungu wa Wabudha, nk.

Kimsingi jibu litakuwa ni jepesi tu; hawafanani.
 
Siku zote ili ujifunze inatakiwa usome nauelewe Kila sehemu badala ya kuandika kiushabiki shabiki hutoelewutoelewa kitu
 
Mungu wa kwenye Biblia na Mungu aliyeandikwa kwenye Quran ni tofauti kabisa.


Maana yake Hapo kuna Mungu wa kweli na Mungu wa Mchongo (Shetani).
 
Yahweh wa Waisraeli,Yesu wa Wakristu na Allah wa Waislamu achilia mbali Krishna wa Wahindu ni tofauti, we amini utakacho hatu Lengai wa Kimasai.
 
Back
Top Bottom