Je Mungu yupo sahihi zaidi?anayesema mbinguni kuna kuoa au anayedai mbinguni hakuna kuoa au kuolewa?

Je Mungu yupo sahihi zaidi?anayesema mbinguni kuna kuoa au anayedai mbinguni hakuna kuoa au kuolewa?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Nauliza nipate elimu

Mungu yupi ni mkweli? Anayedai mbinguni hakuna kuoa au kuolewa na yule anayesema mbinguni kuna kuoa?

Ukisoma Biblia Luka 20:34-35 - Yesu akawaambia, Wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa lakini, wale wahesabiwao kuwa wamestahili kuupata ulimwengu ule, na kule kufufuka katika wafu, hawaoi wala hawaolewi;

Karibuni tujadili watheolojia na wanazuoni
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nauliza nipate elimu

Mungu yupi ni mkweli? Anayedai mbinguni hakuna kuoa au kuolewa na yule anayesema mbinguni kuna kuoa?

Karibuni tujadili watheolojia na wanazuoni
Roho haina jinsia kwahiyo kuoana ni mambo ya kimwili sio mambo ya kiroho, mambo ya kuoa na kuolewa yanaishia hapa hapa.

NB: Hii ni imani yangu mimi, sio ya kanisa wala msikiti.
 
Back
Top Bottom