eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Ni kweli musa na yoshua walikufa lakeland lakini haimaanishi kuwa maandishi yangeishia Hapo kumbuka hawa watu walifanya kazi kwa uwezo kutoka juuOkay mkuu lakini je Joshua alikuwepo kushuhudia wakardayo kiasi aandike kwa kutumia past tense kitu ambacho bado hakijatokea kwenye historia?? Je joshua alishuhudia kabila la Dani likipewa mji wake ilihali alishakuwa amekufa...... Kinachoshangaza haya maneno yameandikwa kwa past tense ikimaanisha aliyeandika alikuwa ameishi miaka zaidi ya 400 toka Musa afe ndio swali linakuja joshua na musa waliwezaje kuandika kwa PAST tense mambo ambayo bado hayajatokea???hapo ndio kunaleta maswali
Kumbuka pia yoshua ndiye aliyewafikisha waisrael nchini kanaan Baada musa kupotea njiani na yoshua ndiye hasa aliwagawia ardhi Baada tu ya kufika kanaan wakifuata agizo ambalo Mungu alimpa musa na kumbuka ni makabila 9 tu yalitia timu kanaan
Baada ya kifo cha yoshua aliyekamata nafasi yake ni Eleazari akiyaendeleza yote ambayo musa,na yoshua waliyaacha
So mtu wa mwisho hapa ni Eleazari ambae pia alikuwa kuhani na yeye aliiendeleza kazi iliyoachwa na musa wakitii na kusikiliza ujumbe kutoka kwa Mungu mwenyewe
Vyote vinaitwa vya musa kwa kuwa ndiye mwanzilishi wa kazi hizo japo wengine kama yoshua na Eleazari waliandika pia humo