Je, Musa hakuandika kitabu cha Mwanzo??

Je, Musa hakuandika kitabu cha Mwanzo??

Okay mkuu lakini je Joshua alikuwepo kushuhudia wakardayo kiasi aandike kwa kutumia past tense kitu ambacho bado hakijatokea kwenye historia?? Je joshua alishuhudia kabila la Dani likipewa mji wake ilihali alishakuwa amekufa...... Kinachoshangaza haya maneno yameandikwa kwa past tense ikimaanisha aliyeandika alikuwa ameishi miaka zaidi ya 400 toka Musa afe ndio swali linakuja joshua na musa waliwezaje kuandika kwa PAST tense mambo ambayo bado hayajatokea???hapo ndio kunaleta maswali
Ni kweli musa na yoshua walikufa lakeland lakini haimaanishi kuwa maandishi yangeishia Hapo kumbuka hawa watu walifanya kazi kwa uwezo kutoka juu
Kumbuka pia yoshua ndiye aliyewafikisha waisrael nchini kanaan Baada musa kupotea njiani na yoshua ndiye hasa aliwagawia ardhi Baada tu ya kufika kanaan wakifuata agizo ambalo Mungu alimpa musa na kumbuka ni makabila 9 tu yalitia timu kanaan
Baada ya kifo cha yoshua aliyekamata nafasi yake ni Eleazari akiyaendeleza yote ambayo musa,na yoshua waliyaacha
So mtu wa mwisho hapa ni Eleazari ambae pia alikuwa kuhani na yeye aliiendeleza kazi iliyoachwa na musa wakitii na kusikiliza ujumbe kutoka kwa Mungu mwenyewe
Vyote vinaitwa vya musa kwa kuwa ndiye mwanzilishi wa kazi hizo japo wengine kama yoshua na Eleazari waliandika pia humo
 
Unafikiri ni maongezi gani hayo ya kukaa siku 40 tena bila kula wala kunywa?
Mkuu ukisoma sura nzima ya 25 na kuendelea utagundua Musa alipewa maelekezo kadha wa kadha ya kuwaambia waisraeli hivyo kibiblia ipo wazi kuwa alipewa masharti tu ya kutekeleza na sio kuandika kitabu chochote unless unipe kifungu hapo kinachoonyesha alipewa maandiko.

Ukihamia incident ya pili sura ya 34 utagundua alipopanda mlimani alipewa amri zingine this time aliziandika na akashuka nazo sasa sielewi haya ya kusema aliandika kitabu unayatoa wapi..... Zaidi kama aliandika unaweza elezea je kuanzia sura ya 24 nani aliyeandika if at all kulikuwa na matukio ya baada ya musa kushuka mlimani???
 
Na tukumbuke kuwa Nabii Musa aliishi miaka ya 1250 kabla ya kristo na kupotelea milimani miaka ya 1407 kabla ya kristo
 
Alafu cha kushangaza ushahidi wa kiacholojia unaonyesha nyaraka za kwanza za kitabu cha mwanzo ziliandikwa miako 600 kabla ya Yesu yaani miaka karibu 400 baada ya Musa kutoweka!!
 
Mkuu ukisoma sura nzima ya 25 na kuendelea utagundua Musa alipewa maelekezo kadha wa kadha ya kuwaambia waisraeli hivyo kibiblia ipo wazi kuwa alipewa masharti tu ya kutekeleza na sio kuandika kitabu chochote unless unipe kifungu hapo kinachoonyesha alipewa maandiko.

Ukihamia incident ya pili sura ya 34 utagundua alipopanda mlimani alipewa amri zingine this time aliziandika na akashuka nazo sasa sielewi haya ya kusema aliandika kitabu unayatoa wapi..... Zaidi kama aliandika unaweza elezea je kuanzia sura ya 24 nani aliyeandika if at all kulikuwa na matukio ya baada ya musa kushuka mlimani???
Nakubaliana na wewe kwamba musa alipewa maagizo akawaambie kwa sababu alikuwa nao karibu lakini kulikuwa na muweka kumbukumbu wake alieitwa yoshua
 
Mkuu ukisoma sura nzima ya 25 na kuendelea utagundua Musa alipewa maelekezo kadha wa kadha ya kuwaambia waisraeli hivyo kibiblia ipo wazi kuwa alipewa masharti tu ya kutekeleza na sio kuandika kitabu chochote unless unipe kifungu hapo kinachoonyesha alipewa maandiko.

Ukihamia incident ya pili sura ya 34 utagundua alipopanda mlimani alipewa amri zingine this time aliziandika na akashuka nazo sasa sielewi haya ya kusema aliandika kitabu unayatoa wapi..... Zaidi kama aliandika unaweza elezea je kuanzia sura ya 24 nani aliyeandika if at all kulikuwa na matukio ya baada ya musa kushuka mlimani???
Hivi mkuu upo sawa au kweli? Record ya maneno inatunzwa vipi? Hizo amri kumi zisingewekwa katika maandishi leo tungezijua?
Kumbukumbu la Torati ni somo ambalo Musa analitoa kwa kizazi kipya cha Waisraeli, kuwaonya wasirudie makosa ya wazazi wao. Anawasihi kumpenda Bwana kwa moyo wao na kuwafundisha watoto wao kufanya hivyo hivyo (Kumbukumbu la Torati 6:4-9).

Anawambia kwamba Mungu atawabariki na kuwapa nchi ya kaanani. Anawahakikishia kwamba iwapo tu kama watafanya mapenzi ya Mungu,wataishi kwa muda mrefu katika nchi ya ahadi. Musa anawaonya kizazi hiki kipya wasije waka msahau Bwana kama wazazi wao.

Na pia anawaonya wasifanye maagano na ibada za sanamu. Mwisho,Musa anaorodhesha baraka zote ambazo watu watazipata kama watamtii Mungu, na laana zote ambazo zitawajilia kama hawata mtii (Kumbukumbu la Torati 31:24-26).

Wakati Musa anamaliza kuandika Sheria katika Mbao za mawe. Aliwaamuru Walawi kuziweka kando ya sanduku la Agano katika mahali Patakatifu pa Patakatifu pa Hekalu (Kumbukumbu la Torati 31:24-26).

Musa akawaamuru makuhani kuisoma sheria kwa watu mara kwa mara, ili kuwakumbusha yale yote Mungu aliyowambia.

Masimulizi ya Kitabu cha Mwanzo,Mambo ya Walawi, Hesabu na Kumbukumbu la Torati ni misingi kwa uelewa wa Biblia nzima.

Kwa kusoma habari hizi tena na tena, watu wa leo watapata uelewa mzuri wa habari zote katika Biblia, Watapata kuelewa Mungu ni Nani, na Jinsi alivyo wa haki na mwenye huruma, ni kwa jinsi gani anapenda kuwa na mahusiano na mwanadamu.

Msomaji atapata kuelewa kuhusu asili na tabia ya Mungu Muumba vyote.
 
Vitabu vingi vimesimuliwa na mtu mmoja asiyetajwa katika Biblia. Hasa vitabu vya agano la kale. Ukivisoma vizuri vinaonyesha mwandishi ni mmoja anayesimulia historia ya wana wa Yakobo. Hati ni ya mtu mmoja, hata baadhi ya istilahi zinazotumika ambazo hujirudia rudia zinazihirisha hilo. Vitabu vichache kama Daniel, Isaya, Ezekiel, Mithali, zaburi, mhubiri, vitabu vya Paulo nan ufunuo ndio vimeandikwa na wahusika wenyewe.
 
Alafu cha kushangaza ushahidi wa kiacholojia unaonyesha nyaraka za kwanza za kitabu cha mwanzo ziliandikwa miako 600 kabla ya Yesu yaani miaka karibu 400 baada ya Musa kutoweka!!
Inawezekana kwa kuwa japo hatuambiwi kiliandikwa lini lakini kihalisia kabisa ni kati ya miaka ya 1400 Hadi miaka ya 1440 ndio maana inasemwa ni cha musa kwa kuwa alianza kukiandika yeye kwanza kabla ya yoshua na Eleazari kukiendelezea maandishi yake
 
Sitaki kuamini. Kuamini hata uongo unaamini tu.

Nataka kujua. Kwa fact. Kwa uthibitisho.

Ushanielewa?

Hiyo roho unayoisema unaweza kuthibitisha ipo?
before sija thibitisha labda nikuulize
wewe una amini katika physical world only au una amini na katika ulimwengu usioonekan?????
 
Hivi na wayahudi Huwa wanaulizana haya maswali au sisi tu wenye masikio ya utafiti. Maana wahusika wapi hi
 
Nimekwambia sitaki kuamini. Nataka kujua.

Unaniuliza kama naamini katika physical world au ulimwengu usioonekana.

Umenielewa wewe?

Unaelewa kwamba inawezekana kitu kikawa katika physical world halafu kisionekane pia na hivyo swali lako halina mantiki?
 
Hivi na wayahudi Huwa wanaulizana haya maswali au sisi tu wenye masikio ya utafiti. Maana wahusika wapi hi
Wanafuatilia sana na ndio maana wamerudi kwa kasi Hapo mashariki ya kati wakiamini ni kwao we unafikiri walijuaje wana Biblia ya kiebrania inaitwa Tanaki
 
Kwahiyo ndio nasubiri wajuvi mnisaidie kama kitabu cha mwanzo kilieditiwa na watu wengine alafu wakadai kimeandikwa na Musa hilo ndio swali na kama si kweli basi tusaidiane kuchambua hyo mistari hapo juu aliandika nani??
We unavionaje hivo Vitabu?
Vinahekima?
 
Ni kweli musa na yoshua walikufa lakeland lakini haimaanishi kuwa maandishi yangeishia Hapo kumbuka hawa watu walifanya kazi kwa uwezo kutoka juu
Kumbuka pia yoshua ndiye aliyewafikisha waisrael nchini kanaan Baada musa kupotea njiani na yoshua ndiye hasa aliwagawia ardhi Baada tu ya kufika kanaan wakifuata agizo ambalo Mungu alimpa musa na kumbuka ni makabila 9 tu yalitia timu kanaan
Baada ya kifo cha yoshua aliyekamata nafasi yake ni Eleazari akiyaendeleza yote ambayo musa,na yoshua waliyaacha
So mtu wa mwisho hapa ni Eleazari ambae pia alikuwa kuhani na yeye aliiendeleza kazi iliyoachwa na musa wakitii na kusikiliza ujumbe kutoka kwa Mungu mwenyewe
Vyote vinaitwa vya musa kwa kuwa ndiye mwanzilishi wa kazi hizo japo wengine kama yoshua na Eleazari waliandika pia humo

The Book of Genesis:

"Historically, Jews and Christians alike have held that Moses was the author/compiler of the first five books of the OT. These books, known also as the Pentateuch (meaning "five-volumed book"), were referred to in Jewish tradition as the five fifths of the law (of Moses). The Bible itself suggests Mosaic authorship of Genesis, since Ac 15:1 refers to circumcision as "the custom taught by Moses," an allusion of Ge 17. However, a certain amount of later editorial updating does appear to be indicated (see, e.g., notes on 14:14; 36:31; 47:11). (From the NIV Bible Commentary [1], page 2)"

So in reality, the book of Genesis had been tampered with by man. It had been corrupted. It is dangerous to consider all of it as the True Living Words of GOD Almighty, because by doing so, we are running into the risk of committing a crime against Him since we are claiming that He spoke words that He never spoke.
 
Mkuu umeongea hoja nzito kweli naunga mkono je kauli kama hii inaweza kutolewa na Musa mwenyewe..... Maana imeandikwa baada ya Musa kufa.

Kumb. La Torati 34
10 Wala hajainuka tena katika Israeli nabii kama Musa, ambaye BWANA alimjua uso kwa uso

Swali jingine la kujiuliza..... Je Musa alipokufa ni nani aliyeandika habari za jinsi kifo na msiba wake ulivyokuwa ilihali Musa alikuwa kaburini au pia nayo aliashaandika kabla hajafa??

Pia kuhusu wakaldayo hapo inakuwaje Musa aandike kuhusu kabila ambalo halipo duniani yaani mfano leo uandike kilimanjaro ya wajaluo ilihali wanaishi wachagga je huoni angechanganya hadhira yake?? Hili unalielezaje

Ubarikiwe
Mkuu sijaelewa umetasfrisi vipi hilo neno hajainuka..bila shaka hapa umelizungumzia kama neno linalowakilisha wakati ukiopita...ila kiuhalisi neno hilo linatumika kwa wakati uliopo pia..pili maneno hayo yameandikwa wakati musa akimuwekea mkono Yoshua ili aendelee kuwaongoza wana wa israel pia kumbuka #Musa alikua haandiki kile anachojisikia kuandika au anachopenda kuandika bali alikua anandikakile alichoelezwa na Mungu kupitia roho takatifu#
 
Hivi mkuu upo sawa au kweli? Record ya maneno inatunzwa vipi? Hizo amri kumi zisingewekwa katika maandishi leo tungezijua?
Kumbukumbu la Torati ni somo ambalo Musa analitoa kwa kizazi kipya cha Waisraeli, kuwaonya wasirudie makosa ya wazazi wao. Anawasihi kumpenda Bwana kwa moyo wao na kuwafundisha watoto wao kufanya hivyo hivyo (Kumbukumbu la Torati 6:4-9).

Anawambia kwamba Mungu atawabariki na kuwapa nchi ya kaanani. Anawahakikishia kwamba iwapo tu kama watafanya mapenzi ya Mungu,wataishi kwa muda mrefu katika nchi ya ahadi. Musa anawaonya kizazi hiki kipya wasije waka msahau Bwana kama wazazi wao.

Na pia anawaonya wasifanye maagano na ibada za sanamu. Mwisho,Musa anaorodhesha baraka zote ambazo watu watazipata kama watamtii Mungu, na laana zote ambazo zitawajilia kama hawata mtii (Kumbukumbu la Torati 31:24-26).

Wakati Musa anamaliza kuandika Sheria katika Mbao za mawe. Aliwaamuru Walawi kuziweka kando ya sanduku la Agano katika mahali Patakatifu pa Patakatifu pa Hekalu (Kumbukumbu la Torati 31:24-26).

Musa akawaamuru makuhani kuisoma sheria kwa watu mara kwa mara, ili kuwakumbusha yale yote Mungu aliyowambia.

Masimulizi ya Kitabu cha Mwanzo,Mambo ya Walawi, Hesabu na Kumbukumbu la Torati ni misingi kwa uelewa wa Biblia nzima.

Kwa kusoma habari hizi tena na tena, watu wa leo watapata uelewa mzuri wa habari zote katika Biblia, Watapata kuelewa Mungu ni Nani, na Jinsi alivyo wa haki na mwenye huruma, ni kwa jinsi gani anapenda kuwa na mahusiano na mwanadamu.

Msomaji atapata kuelewa kuhusu asili na tabia ya Mungu Muumba vyote.
Mkuu tuache kuzunguka naomba unisaidie swali nimeuliza kama pentateuch ziliandikwa na musa kwenye zile siku 40 je habari za kifo chake, kanaan na wakaldayo aliziandika nani ilihali Musa alishakuwa amekufa

Yaani exodus 27 na kuendelea aliandika nani kama Musa alishakuwa ameshuka kutoka mlimani
 
Back
Top Bottom