Je, Musa hakuandika kitabu cha Mwanzo??

@blackstarline,naona umenielewa vibaya,lakini elewa kuwa mtu anaposema moses hajawahi kuwepo,dini zote tatu,jew,christian and islam zinaumia,undefinedwewe umechukulia too personal,undefinedna kuhusu swali lako hebu kaulize history inasemaje kwanza
 
Hata injili ya marko msimulizi ni mtume Petro alikuwa akimsimulia Mwinjili Marko
 
@blackstarline,naona umenielewa vibaya,lakini elewa kuwa mtu anaposema moses hajawahi kuwepo,dini zote tatu,jew,christian and islam zinaumia,undefinedwewe umechukulia too personal,undefinedna kuhusu swali lako hebu kaulize history inasemaje kwanza
Nimekupata vizuri kabisa, yaani ni kwamba kama Musa hajawahi kuwepo basi pia torati itakuwa na mashaka ambayo asilimia kubwa wakristo ndiyo wanayo ifuata.
Kwahiyo kama ni hivyo basi na ukristo pia haupo wala haujawahi kuwepo!
Je, uislam nao haupo?
History inasema agano la kale inasadikiwa liliandikwa na Musa.
 
@blackstarline,history ipi hiyo inayodai moses kaandika agano la kale?undefinedSijui umeelewa naposema history,undefinedmfano history haijamtaja solomon,abrahamu,moses,yesu,daud,saul,yaani hawa hawapo kwenye mainstream history,kwa maana kuwa wanahistory walikosa supporting evidence ya kuwahi kuwepo kwao ndo maana wanakuwa hawapo katika history,undefinedmfano julius caesar alikuwepo kabla ya jesus na yupo katika history,wakati yesu hayupo,undefinedsasa unaweza kuonyesha history ya moses?
 
Ila wanahistory walipata supportive evidence kwamba binadamu alitokana na sokwe ?
 
Musa ameishi duniani kabisa Sema ni mmoja ya watu ambao hawakuzikwa Bali walitoweka tu
Wengine ni Babu wa saba duniani hanoki
Na nabii mwingine Eliya
 
Mkuu kuna mkuu hapo kakupa kitabu kinachokugaide namna ya kusoma biblia lakini naona umekipuuza
Hicho kitabu nakifahamu actually kinapinga kuwa Musa aligawanya bahari ya Shamu, kinapinga kuwa Musa alipewa amri 10 za Mungu hivyo hicho kitabu kinaungana na hizi hoja zangu maana kinapinga pia Musa kuandika kitabu cha Mwanzo.

Kuhusu kutafsiri biblia kuna vitabu natumia ambavyo vimeandikwa na wanatheolojia credible labisa ndio huwa vinanisadia kabla cjaweka mada humu....hivyo sijakurupuka nimekisoma kwanza nimejiridhisha ndio nikaja na hii hoja.

 
Musa anamjua Mungu kama Magufuli na Makonda wanavyojuana, ndiyo maana hata walikuwa kila mmoja akimshauri mwenzake, Kama Musa alimkumbusha Mungu na akamshauri na Mungu akakubali maneno ya Musa, basi sina shaka yawezekana aliandika katika nafsi kadha wa kadha, naamini aliweza kuandika akiwa siyo yeye kama Musa, pengine kiroho na kimwili, huku akivua u binadamu na kuwa malaika ili tu story ieleweke vizuri, Kwa jinsi alivyo Musa inawezekana kabisa aliandika vyote kwa kushuhudia na kwa kujishuhudia.
 
undefinedunakumbuka pale mungu alipomnyatia nyatia moses,akampiga kabali ya shingo,kukuru kakara huku na huku,almanusra moses akate pumzi kama sio mkewe Zilipa kuokoa jahazi,undefinedwakati mwingine habari za musa zinasisimua sana
 
Kumbuka kwamba Yoshua alimalizia kuandika baadhi ya sura za mwisho kwenye kitabu cha kumbukumbu la torati. Kwa kua kitabu hicho kwa kiasi kukubwa kiliandikwa na Musa, Yoshua aliamua kuacha kuacha umiliki huo chini ya Musa na hatimae yoshua akaandika kitabu chake kama mwendelezo wa pale Musa alipoachia
 

Duuuh noma sana
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu ningeomba nitofautiane tena na wwe.... Unaposema kuwa musa au joshua waliandika kitabu cha Kumb. Na hizo pentateuch nyingine inaleta maswali mfano kuongelea Mji wa Dani ambao kwa mara ya kwanza umetajwa kwenye kitabu cha waamuzi sasa kivp mwandishi wa mwanzo either joshua au Musa au wanafunzi wake waliweza ongelea mji huo enzi za Lutu ilihali umeanza enzi za kina samson???

Vipi kuhusu wakaanan kukimbilia Gaza je Musa alikuwepo kurekodi hilo?? Wakaldayo pia mpaka joshua anakufa walikuwa bado hawajatokea duniani je aliwezaje kuandika kuhusu kabila ambalo halipo duniani? Pia niliuliza kuhusu issue ya wafalme kwamba mpaka joshua anakufa Israel haikuwahi kuwa na mfalme je kivp Musa au joshua aandike kuwa jambo fulani lilitokea "kipindi israel haikuwa na mfalme" je huoni mwandishi halisi wa mwanzo alikuwepo kipindi ambacho wafalme walikuwepo hivyo hawezi kuwa joshua wala musa

Embu tuwekane sawa mkui
 
Wachambuzi wa biblia wanadhani huenda Joshua-ambaye aliachiwa uongozi na Musa alindika baadhi ya sura za vitabu tunavyoita vya Musa hasa kumbukumbu la torati.
Pia huwa tunaamini Daudi aliandika kitabu cha Zaburi lakini kuna baadhi ya sura zinatajwa kabisa mwandishi mwingine aliandika baadhi ya sura
Huo ndio mchango wangu
 
Kabla yote mkuu zitto junior kwema?

Baada ya salam,hivi suala la waandishi wa vitabu vya Biblia ni nani aliyesema nani kaandika nini?

Ni Biblia yenyewe au si Biblia?
Karibu sana mkuu Eiyer ni kitambo kidogo sijakuona jukwaani.....

Kwa ufahamu wangu uandishi wa vitabu vya Biblia umepewa na watu NJE YA BIBLIA ila kwenye biblia kuna vitabu vichache ndio vimeonyesha muandishi wa kitabu husika ni yupi??
 
Nasikia Nebukdenezer nae kaandikamo
Tupe nondo zaidi mkuu.... Maana hivi vitabu vingi vimeandikwa kipindi wayahudi wako uhamishoni so siwezi pinga hoja hii labda utudadavulie zaidi kwa faida ya wanajukwaa wote.
 
Huyu Mungu mwandishi wa vibatu sijui ni wa wapi....mbona hakutoa documentary au Audio CD au Movie?

Hajui ukitoa Fasihi Andishi kuna Fasihi Simulizi,etc?

Hovyo kabisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…