Wakati wanaulazimisha mi nilikuwepo? Bila kujali kama walilazimishana au ilikuwaje watajua wenyewe waliokuwepo enzi hizo, Tunachohitaji sisi wa sasa, ni katiba juu ya Muungano ibadilike ili tuwe na Nchi moja chini ya Rais na serikali moja ili kuondoa utegemezi na unyonyaji wa upande mmoja kwa upande mwingine. Au laa kila upande ujitegemee kivyake, pasiwe na kupumzikiana na utegemezi wa kimume na mke. Yaani mume avuje jasho kutafuta mke yeye aegeshe mdomo wake kupokea tu.., no way.., imetosha! Tuwe wamoja au mjitegemee!!