Wanafiki nyie Watanganyika wewe umeona wapi watu milioni 11,289,556 mwaka 1964 kuungana na Zanzibar watu 76,000 mwaka 1964 Huo ndio Unafiki wenu Watanganyika huyo Baba enu mchonga meno yeye mwenyewe alikuwa kibaraka tu wa wazungu .Karume alipotaka kuuvunja muungano aliuliwa kesi ya uhaini Znz Mr X akitajwa alikuwa Nyerere .Jumbe vile vile akitaka kuuvunja muungano wakanfukuza ndio maana munasema mutaulinda kwa nguvu zote so nyinyi ndio limbukeni wa muungano washamba wa muungano .Kwenye Bunge si umeaona kelele just kusema watanganyika waingie Znz kwa paspoti .Huu Muungano sio wa haki na Utavunjika tu siku moja.Kuna baadhi ya watu wa bara including wewe wana chuki na hikdi na Wazanzibari na Zanzibar,ikiwa alishindwa Baba enu kaiacha na wewe na wenzako wewe mutaiacha.Haki itasimama tu .