Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
bibi kizee hata historia huijui kabisa, ni lini bara ilishawahi kuwa zanzibar? ndivyo mnavyodanganyana huko kwenye masebule yenu ehee.Kiuhalisia hii "Tanganyika" yote iwe ni Zanzibar, kama ilivyokuwa kabla ya wajerumani kuikata na kujigawia hili pande linaloitwa bara.
Hats hins Tanganyika hakuna anayejuwa limetokea wapi, hii yote ilikuwa ni Zenj bar, yaani bara la Zenj.
Wakati wanaulazimisha mi nilikuwepo? Bila kujali kama walilazimishana au ilikuwaje watajua wenyewe waliokuwepo enzi hizo, Tunachohitaji sisi wa sasa, ni katiba juu ya Muungano ibadilike ili tuwe na Nchi moja chini ya Rais na serikali moja ili kuondoa utegemezi na unyonyaji wa upande mmoja kwa upande mwingine. Au laa kila upande ujitegemee kivyake, pasiwe na kupumzikiana na utegemezi wa kimume na mke. Yaani mume avuje jasho kutafuta mke yeye aegeshe mdomo wake kupokea tu.., no way.., imetosha! Tuwe wamoja au mjitegemee!!Kwani mlipoulazimisha huu muungano uliopo Tanganyika ilikuwa Haina Raisi, Haina bunge ??
Soma kijana.bibi kizee hata historia huijui kabisa, ni lini bara ilishawahi kuwa zanzibar? ndivyo mnavyodanganyana huko kwenye masebule yenu ehee.
ni mwaka gani bara walishawahi kuwa zanzibar? toka lini wabara tukawa wala urojo.Soma kijana.
Soma kijana.ni mwaka gani bara walishawahi kuwa zanzibar? toka lini wabara tukawa wala urojo.
Wakati wanaulazimisha mi nilikuwepo? Bila kujali kama walilazimishana au ilikuwaje watajua wenyewe waliokuwepo enzi hizo, Tunachohitaji sisi wa sasa, ni katiba juu ya Muungano ibadilike ili tuwe na Nchi moja chini ya Rais na serikali moja ili kuondoa utegemezi na unyonyaji wa upande mmoja kwa upande mwingine. Au laa kila upande ujitegemee kivyake, pasiwe na kupumzikiana na utegemezi wa kimume na mke. Yaani mume avuje jasho kutafuta mke yeye aegeshe mdomo wake kupokea tu.., no way.., imetosha! Tuwe wamoja au mjitegemee!!
Kwa mfumo huu ni kama Zanzibar in ma-Rais wawili na mabunge mawili; Tanganyika haina Rais wala Bunge, na kiuhalisia haipo.
Sawa, kila mtu ajitegemee kama inashindikana kuwa na nchi moja yenye serikali moja chini ya Rais mmojaKwani lazima uwepo muungano ?? si uvunjike kama ilivyovunjika miungano mengine kila mmoja ajenge nchi yake ??
Nchi gani iliyovamiwa wakailiwa watu wake kwa maelfu itakubali hivyo?Sawa, kila mtu ajitegemee kama inashindikana kuwa na nchi moja yenye serikali moja chini ya Rais mmoja
Sawa, kama itashindikana kuungana na kuwa nchi moja, basi mjitegeemee wenyewe, mfanye kazi sasa na sio kukaa vibarazani kula urojo huku Tanganyika ikivuja jasho kuwalisha.., katiba irekebishwe ili mjilishe wenyewe..!Nchi gani iliyovamiwa wakailiwa watu wake kwa maelfu itakubali hivyo?
Huu si Muungano, ni utegemezi wa nchi moja kwa nchi nyingine..Nyerere alifeli sana Zanzibar ilibid aichkue sio aungane
Hilo ilikuwa Lengo lake lakini alisahau Hao aliowauwa yuko MunguNyerere alifeli sana Zanzibar ilibid aichkue sio aungane
Mbona Tanganyika ndiyo imetumaliza , huyo anayenyonywa ana kitu gani cha kunyonywa? Nchi yote imeozaSawa, kama itashindikana kuungana na kuwa nchi moja, basi mjitegeemee wenyewe, mfanye kazi sasa na sio kukaa vibarazani kula urojo huku Tanganyika ikivuja jasho kuwalisha.., katiba irekebishwe ili mjilishe wenyewe..!