Je, Muuza Madafu wa Ikulu atakuwa na maajabu ulingoni?

Je, Muuza Madafu wa Ikulu atakuwa na maajabu ulingoni?

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Muuza Madafu wa Ikulu, Barnabas Alexander, leo atapanda ulingoni kuzichapa na Fredy Sebastian kwenye hii Dar Boxing Derby. Hii ni exhibition fight lakini mabondia wote ni wapya kwenye ulingo mbali na kuwa wanaonekana wanajua michezo.
1719678676037.jpeg

Je unadhani Komando Madafu atatoboa?
 
Huyu mwenye kofia ya blue(mfupi mweusi) ni mwanajeshi, hio body language ya kijeda kabisa.
 
Mbona huyo mpinzani wa madafu kapinda alafu mkono uko softsoft sana.
Sixpacks zA kuungaunga anaweza kupigwa mwanzoni tu kama yule dogo madafu atakuwa siriasi.
 
Muuza Madafu wa Ikulu, Barnabas Alexander, leo atapanda ulingoni kuzichapa na Fredy Sebastian kwenye hii Dar Boxing Derby. Hii ni exhibition fight lakini mabondia wote ni wapya kwenye ulingo mbali na kuwa wanaonekana wanajua michezo.
View attachment 3029264
Je unadhani Komando Madafu atatoboa?
Mbona huyu Muuza Madafu kwa mbaali hivi anataka kufanana na JamiiForums Founder Mtani wangu Maxence Melo?
 
Huyo aliyepinda ameshapigwa kabla hata ya pambano kuanza
 
Back
Top Bottom