Je, Muuza Madafu wa Ikulu atakuwa na maajabu ulingoni?

Je, Muuza Madafu wa Ikulu atakuwa na maajabu ulingoni?

Mandonga kashafunikwa kiki imehamia kwa muuza madafu.!! Nchi hii tunapenda kupromoti ujinga.
 
Muuza Madafu wa Ikulu, Barnabas Alexander, leo atapanda ulingoni kuzichapa na Fredy Sebastian kwenye hii Dar Boxing Derby. Hii ni exhibition fight lakini mabondia wote ni wapya kwenye ulingo mbali na kuwa wanaonekana wanajua michezo.
View attachment 3029264
Je unadhani Komando Madafu atatoboa?
Huyu kama hakuwa komando kwel basi kajichanganya .
 
Hivi ameshapigana? Mana naangalia Euro navizia pambano lake sijajua kama bado au tayari.
 
Back
Top Bottom