Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hajawahi kupanda ulingoni kwa hiyo uhakika utaonekana leo, maana michezo hii ukiwa dojo ni tofauti na ulingoniAtanikwaza akiwa mandonga mwingine maana kwenye face off hapo siyo poa.
Atanikwaza akiwa mandonga mwingine maana kwenye face off hapo siyo poa.
Fight yao saa ngapi?Hao mabondia wote ni wapya... Hakuna anaejua rekodi zao.. Bila shaka watatoa burudani kali na ya aina yake... Maana wote wapya!
Komando madafu akipigwa atakuwa ameliaibisha taifaHajawahi kupanda ulingoni kwa hiyo uhakika utaonekana leo, maana michezo hii ukiwa dojo ni tofauti na ulingoni
Mbona huyu Muuza Madafu kwa mbaali hivi anataka kufanana na JamiiForums Founder Mtani wangu Maxence Melo?Muuza Madafu wa Ikulu, Barnabas Alexander, leo atapanda ulingoni kuzichapa na Fredy Sebastian kwenye hii Dar Boxing Derby. Hii ni exhibition fight lakini mabondia wote ni wapya kwenye ulingo mbali na kuwa wanaonekana wanajua michezo.
View attachment 3029264
Je unadhani Komando Madafu atatoboa?