Je, Muuza Madafu wa Ikulu atakuwa na maajabu ulingoni?

Duuuh! hakuna liyeangalia ndondi jana?
 
Game iliishaje maana nilikua bize na UERO
 
Mbona huyu Muuza Madafu kwa mbaali hivi anataka kufanana na JamiiForums Founder Mtani wangu Maxence Melo?
Maxence Melo hawezi kuwa na mtan kama wewe,
Endapo utajibu kwanini ulifunga uzi baada ya spana za kutoshwa na kutoka mbio unaweza kuwa mtani wake
Tazama hapa chini👇
 

Attachments

  • 152E1191-8CE8-40E0-A1D9-78C6EC7ECD81.jpeg
    176 KB · Views: 3
Na huyo mwingine mwenye Boksa za Ilala Mchikichini anaonekana ni Mchumba / Mchovu kabisa.
hawezi kuwa mchovu kama ulivyo wewe
shuhudia hapa chini👇
 

Attachments

  • F295170F-3FC3-4E5C-81BF-183D9D5112FD.jpeg
    176 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…