Mwakinyo makini
Member
- Dec 20, 2023
- 66
- 112
Budget za walalahoi.Mvua Zipo Ila Wahuni Watakimbia Na Fuko La Cash Tu
Kwanini umewahi kusema hivyo wakati hata ule muda wa mvua hizo haujafika? Tuliambiwa zitaanza October na huoni dadili tayari na huko Kilimanjaro na Dar si zimeanza kunyesha?Wakuu habarini....
Bila kuwapotezea muda kwa salamu....
Ningependa kusema mimi kwa upande wangu naona hizi mvua za el nino hazitakuwepo japokuwa ni kweli mvua lazima zinyeshe lakini sio kubwa ivo kama walivyotabiri .....
Nahisi ni game ambayo inafanywa na big fish countries ili kubalance world economy.... Na hii wameifanya kwa kuwajengea watu hofu kubwa kwa kuhype saana ili watu wa purchase bidhaa kwa wingi .....
Ni maoni yangu tu wadau
Nyie mnaonaje wadau maoni yenu
Una umri gani kwanza?Wakuu habarini....

Unajuwa El nino ni mvua zinazonyesha kila baada ya muda gani?Big fish wana kawaida ya kuzusha taharuki duniani kila wanapotaka kutimiza agenda zao za siri. Sasa hivi wanakuambia AI itakuwa na uwezo wa kuua watu wengi na haidhibitiki!
Nuhu aliishi miaka mingi kwahiyo alishashuhudia kabla kila baada ya miaka kadhaa unyesha mvua kubwa mto Tigris Iraq na ule mto mwingine huungana na kusababisha maafa makubwa.Chukua tahadhari, wakati wa nuhu watu walichukulia masikhara kikawalamba
Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake, pesa zinapigwa hata kwenye misiba na harusi.Kuna watu wanapiga pesa kishenzi kupitia hiyo ilininyo, vikao kila leo eti maandalizi!!.