Je mvua za el~nino ni kweli zipo ama ni game ya big fish countries?

Sisi wabongo kwa ujuaji ujuaji tu. Mkuu basi ingependeza huu ujuaji ungepeleka walau chaka huko kwenye shughuli za kilimo na ufugaji ingeleta tija.
 
Umeona sasa ....watu so kwamba nimewaambia el nino haipo ila wananishambulia .....nimeangalia katika upande mwingine wa kiuchumi
Big fish wana kawaida ya kuzusha taharuki duniani kila wanapotaka kutimiza agenda zao za siri. Sasa hivi wanakuambia AI itakuwa na uwezo wa kuua watu wengi na haidhibitiki!
 
Big fish game to harvest vulnerable small fish🤸.a.k.a a Hoax game.
 
Mshaambiwa mchukue tahadhari!
Nyie mnaleta ligi

Ova
 
Mkuu kwahiyo unga na maharagwe tutapata...??
Na madripu uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…