Je Mwakyembe atarudisha katiba ya Warioba?

Je Mwakyembe atarudisha katiba ya Warioba?

Baaada ya uteuzi wa Mwakyembe kuwa waziri wa katiba. Nilijiuliza hivi mwakembe anaweza kurudisha katiba ya wananchi kweli? Hebu tusubiri tuone
Ile Rasimu ya Warioba(wananchi) haina maslahi kwa CCM. CCM waliitoa roho na kuizika. Kufikiria Mwakyembe atairudisha Rasimu ya Warioba ni sawa na kufikiria kuwa Nyerere anaweza kufufuka aje kujionea Kingunge amehama CCM.
 
Ukitaka kuwaudhi CCM, we itaje rasimu ya Jaji Warioba tu!!
 
Dr.Harrison Mwakyembe amebaki kuwa taswira ya kielelezo kwamba, kama ukiona hauwezi kushindana nao basi tafuta namna ya kushirikiana nao nawe utashibishwa. Sitegemei jipya au muujiza wowote kutoka kwake atatumikia Wizara yake kadili atavyotumwa na aliyempeleka
 
Back
Top Bottom