Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona waarabu ndo jamii ya watu weupe iliyo changanyika, kuoleana na kuzaliana na waafrika kwa wingi kuliko jamii yeyote ya watu weupe?Ila waarabu wamezidi hata ukaoe kwao ni shida
Ila kuoa mzungu au mchina ni kawaida tu
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Ila hakubagua wakati analeta dini.Hakuna kingine zaidi ya ubaguzi na roho mbaya
Kiasili mwarabu ni m'baguzi hasa kwa watu weusi
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
,[emoji16]Vizuri,tujifunze kuacha shobo...watu wamekuja hadi na maji Yao kutoka kwao hujifunzi tu wapo serious kiasi gani???Tuacheni mazoea ya kitoto,fair play ipo but Mpira ni vita
KWA HIYO MKUU TUSIENDE KUNUNUA BIDHAA ZAO.Mna lalamika lakini kesho mnaenda kununua vitu kwenye biashara zao. Kama Kwa kauli Moja tunasema Hawa jamaa ni mavi tuanze kuwatenga kwenye uchumi Hata hapa uswazi.
[emoji16] nimecheka sanaFIFA wanasisitiza FAIR PLAY sio FAIR DRINKING.
Kwani Moo energy ziliwaishia?
Kabisa mkuuIla waarabu wanatufundisha roho mbaya sanaa hakikuwa kitendo cha kiungwana kabisa
Katika pitch si rahisi kuona wachezaji wakifanyiana unyanyasaji wenyewe kwa wenyewe kwa vitu vidogo vidogo kama maji ya kunywaHata rangi nyeupe nao wanabaguana tuu vilevile. Interracial and Itraracial discriminations both exist.
Sikuwa naongelea kwenye pitch but yes ulichosema sahihi.Katika pitch si rahisi kuona wachezaji wakifanyiana unyanyasaji wenyewe kwa wenyewe kwa vitu vidogo vidogo kama maji ya kunywa
Tabia mbaya tu ya kupenda kudowea....chama kakuta bongo tunashare hadi mademu kajiendekeza sana. Bora walikanyima,kanadeka mno.Ila waarabu wanatufundisha roho mbaya sanaa hakikuwa kitendo cha kiungwana kabisa
Hao wanaofake life wamekuomba tsh.ngapi? In short ni kujiendekez bora kanyimwa. Akome konokono yule.Uzi huu umejaa washamba wengi sana.Kitendo cha mchezaji wa timu pinzani kunywa maji ama juice ya timu nyingine ni cha kawaida sana.
Tatizo hapa kumwandama Chama kuwa alikosea ni kwa sababu ya ushamba na ulimbukeni wa kuja mjini juzi na kujidai mnapenda mpira.Unaweza kushangaa comment za kumnanga Chama zinatolewa na watoto wa kiume kabisa na wengi wana fake life.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Waarabu ni watu wa ovyo sana. Mbona kushare maji na vinywaji na wachezaji wa timu pinzani ni suala la kawaida sana?Akili ndogo wanamkejeli Chama kunyimwa maji/juice na waarabu (Al ahly) baada ya mchezo kusimama.
Hilo tukio lilitokea Chama kuwasogelea waarabu na kutaka kupata walau maji lakini ikawa tofauti kidogo baada ya wachezaji wa Al ahly kugoma kumpa/kumpotezea.
Akili kubwa Kama NALIA NGWENA imenifanya nifikiri kwa undani nakudhani kuwa Chama alitumwa/alikwenda Kama undercover kutest Radha ya kinywaji Kama siyo contained na madawa ya kuongeza nguvu.
Lakini kwa akili ya waarabu nao walilijua Hilo waliamua kumkwepa Chama na kujifanya hawamuoni kabisa Kama ingekua ni maji/kinywaji Cha kawaida wasingeoogopa wangempa bila wasi wasi wowote hivyo ndivyo wanavyofanya katika michezo mingi kwa wachezaji kushea maji ndani ya pichi ni jambo la kawaida tu.
Tukio Kama hili linatoa funzo kubwa sana katika timu zetu za Tanzania haswa Simba na Yanga Sc zinazoshiriki michuano ya kimataifa.
View attachment 2789119
Alitaka majini wamsaidie kwa kumpa nguvu za ziadaAkili ndogo wanamkejeli Chama kunyimwa maji/juice na waarabu (Al ahly) baada ya mchezo kusimama.
Hilo tukio lilitokea Chama kuwasogelea waarabu na kutaka kupata walau maji lakini ikawa tofauti kidogo baada ya wachezaji wa Al ahly kugoma kumpa/kumpotezea.
Akili kubwa Kama NALIA NGWENA imenifanya nifikiri kwa undani nakudhani kuwa Chama alitumwa/alikwenda Kama undercover kutest Radha ya kinywaji Kama siyo contained na madawa ya kuongeza nguvu.
Lakini kwa akili ya waarabu nao walilijua Hilo waliamua kumkwepa Chama na kujifanya hawamuoni kabisa Kama ingekua ni maji/kinywaji Cha kawaida wasingeoogopa wangempa bila wasi wasi wowote hivyo ndivyo wanavyofanya katika michezo mingi kwa wachezaji kushea maji ndani ya pichi ni jambo la kawaida tu.
Tukio Kama hili linatoa funzo kubwa sana katika timu zetu za Tanzania haswa Simba na Yanga Sc zinazoshiriki michuano ya kimataifa.
View attachment 2789119
MAJINGA SANA YALE MAJAMAAWaarabu ni watu wa ovyo sana. Mbona kushare maji na vinywaji na wachezaji wa timu pinzani ni suala la kawaida sana?
HAYANA AKILIAlitaka majini wamsaidie kwa kumpa nguvu za ziada
Na hiyo ni kawaida tu kwa wachezaji kushea majiWasio jua mpira wataita shobo. Ila kwa sisi Watu wa mpira inaitwa fair play, na sio maji tu hata madaktari wanaruhusiwa kutibu mchezaji wa timu pinzani.