Je, mwamba wa Lusaka ( Chama) alikwenda kuomba maji kwa bahati mbaya au alikwenda Kama undercover kupeleleza vinywaji vya waarabu?

Ila waarabu wamezidi hata ukaoe kwao ni shida
Ila kuoa mzungu au mchina ni kawaida tu

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Sasa mbona waarabu ndo jamii ya watu weupe iliyo changanyika, kuoleana na kuzaliana na waafrika kwa wingi kuliko jamii yeyote ya watu weupe?

Ww kama ulienda kuoa mwarabu ukakataliwa watakuwa walikukatalia kwa zigezo vingine na sio weusi wako kwa sababu hata weusi sisi kwa sisi huwa tunakataana kuoana kwa misingi ya dini,makabila na kipato.

Kama ni ubaguzi kila siku tunashuhudia wachezaji weusi wakifanyiwa barani ulaya.
 
Mna lalamika lakini kesho mnaenda kununua vitu kwenye biashara zao. Kama Kwa kauli Moja tunasema Hawa jamaa ni mavi tuanze kuwatenga kwenye uchumi Hata hapa uswazi.
KWA HIYO MKUU TUSIENDE KUNUNUA BIDHAA ZAO.
 
Hata rangi nyeupe nao wanabaguana tuu vilevile. Interracial and Itraracial discriminations both exist.
Katika pitch si rahisi kuona wachezaji wakifanyiana unyanyasaji wenyewe kwa wenyewe kwa vitu vidogo vidogo kama maji ya kunywa
 
Uzi huu umejaa washamba wengi sana.Kitendo cha mchezaji wa timu pinzani kunywa maji ama juice ya timu nyingine ni cha kawaida sana.

Tatizo hapa kumwandama Chama kuwa alikosea ni kwa sababu ya ushamba na ulimbukeni wa kuja mjini juzi na kujidai mnapenda mpira.Unaweza kushangaa comment za kumnanga Chama zinatolewa na watoto wa kiume kabisa na wengi wana fake life.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Hao wanaofake life wamekuomba tsh.ngapi? In short ni kujiendekez bora kanyimwa. Akome konokono yule.
 
Akili ndogo wanamkejeli Chama kunyimwa maji/juice na waarabu (Al ahly) baada ya mchezo kusimama.

Hilo tukio lilitokea Chama kuwasogelea waarabu na kutaka kupata walau maji lakini ikawa tofauti kidogo baada ya wachezaji wa Al ahly kugoma kumpa/kumpotezea.

Akili kubwa Kama NALIA NGWENA imenifanya nifikiri kwa undani nakudhani kuwa Chama alitumwa/alikwenda Kama undercover kutest Radha ya kinywaji Kama siyo contained na madawa ya kuongeza nguvu.

Lakini kwa akili ya waarabu nao walilijua Hilo waliamua kumkwepa Chama na kujifanya hawamuoni kabisa Kama ingekua ni maji/kinywaji Cha kawaida wasingeoogopa wangempa bila wasi wasi wowote hivyo ndivyo wanavyofanya katika michezo mingi kwa wachezaji kushea maji ndani ya pichi ni jambo la kawaida tu.

Tukio Kama hili linatoa funzo kubwa sana katika timu zetu za Tanzania haswa Simba na Yanga Sc zinazoshiriki michuano ya kimataifa.

View attachment 2789119
Waarabu ni watu wa ovyo sana. Mbona kushare maji na vinywaji na wachezaji wa timu pinzani ni suala la kawaida sana?
 
Akili ndogo wanamkejeli Chama kunyimwa maji/juice na waarabu (Al ahly) baada ya mchezo kusimama.

Hilo tukio lilitokea Chama kuwasogelea waarabu na kutaka kupata walau maji lakini ikawa tofauti kidogo baada ya wachezaji wa Al ahly kugoma kumpa/kumpotezea.

Akili kubwa Kama NALIA NGWENA imenifanya nifikiri kwa undani nakudhani kuwa Chama alitumwa/alikwenda Kama undercover kutest Radha ya kinywaji Kama siyo contained na madawa ya kuongeza nguvu.

Lakini kwa akili ya waarabu nao walilijua Hilo waliamua kumkwepa Chama na kujifanya hawamuoni kabisa Kama ingekua ni maji/kinywaji Cha kawaida wasingeoogopa wangempa bila wasi wasi wowote hivyo ndivyo wanavyofanya katika michezo mingi kwa wachezaji kushea maji ndani ya pichi ni jambo la kawaida tu.

Tukio Kama hili linatoa funzo kubwa sana katika timu zetu za Tanzania haswa Simba na Yanga Sc zinazoshiriki michuano ya kimataifa.

View attachment 2789119
Alitaka majini wamsaidie kwa kumpa nguvu za ziada
 
Wasio jua mpira wataita shobo. Ila kwa sisi Watu wa mpira inaitwa fair play, na sio maji tu hata madaktari wanaruhusiwa kutibu mchezaji wa timu pinzani.
 
Na hiyo ni kawaida tu kwa wachezaji kushea maji
 
Back
Top Bottom