sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Malezi ya mtoto wa kiume bila kuwepo kwa father figure (baba yake, baba wa kambo, n.k) yamegubikwa na changamoto nyingi katika hiki kizazi ambacho tunashuhudia inatumika nguvu kubwa mno kuharibu urijali wa mwanaume.
Ili kumlea mtoto wa kiume awe rijali ni lazima kwa kiasi fulani kuwe na mlezi ambae ni rijali tayari, na mwanamke hana urijali huo,
Changamoto ipo hapo tu kulea mtoto wa jinsia tofaut na yako ni kaz maana kuna majukum ya kijinsia mengne utashindwa kumtimizia kutokana na kutokujua ama kwa kujua ila aibu ikakutawala na ukiangalia na lifestyle ya sasa hv ndio kabsaa
Sasa je, Je, Mwanamke ana lipi la kumfunza mtoto wa kiume linapokuja suala la urijali ili kuepukana na kukuza mtoto wa kiume kinyume na inavyotakiwa.
Maoni ya wachangiaji

Swali:
Bill Clinton ,Tupac,Obama wote wamelelewa na mama zao kwa muda mrefu...baba zao walifariki wakiwa wadogo au waliachana na mama zao wakiwa wadogo.
Mwanamke ( single parent) anaweza kulea mtoto wa kiume peke yake na huyo mtoto akawa na mafanikio na mwanaume wa shoka.
Jibu
Mkuu, hao uliowatolea mfano wote walikuwa na Father figures waliowalea katika maisha yao.
Baba yake Mzazi Bill Clinton, William Jefferson Blythe Jr. alifariki dunia miezi mitatu kabla Bill hajazaliwa mwaka 1946. Mwaka 1950, mama yake Bill, Virginia aliolewa na Roger Clinton Sr. na Bill alilelewa na Baba huyu wa kambo, na hata akachukua jina lake la Clinton. Hivyo alikuwa na Father figure katika maisha yake.
Tupac alikuwa na Father figure ambaye ni Baba yake wa kambo Mutulu Shakur.
Barack Obama pia aliwahi kulelewa na Step father wake, Lolo Soetoro. Bila kusahau Babu yake Stanley Dunham alimlea Obama kuanzia Obama alipokuwa na miaka 10.
Simaanishi kwamba Single Mothers hawawezi kulea na kukuza watoto wa Kiume, ila Mwanaume kushiriki katika makuzi ya mtoto wa kiume ni muhimu mno kwa maoni yangu.

Single parents wengi (sio single mother wala single father) huwa tunajisahau kwenye malezi(hasa tunapokuwa na watoto wa jinsia tofauti na zetu) tunajikuta tunalea watoto kama mashoga(mashost) au washikaji zetu kitu ambacho sio sawa na kinasababisha mtoto kutokujua roles zao za kijinsia.
Panapotokea mtoto kulelewa na mzazi moja, ni vyema wa kiume alelewe na baba, na wa kike alelewe na mama yake.
Binafsi naweza kulea mtoto wa kiume peke yangu maana mimi ni mwanaume tayari, akilegea legea namwambia hio acha.
Ila mtoto wa kike anaweza kuanza za kuoga mara 1 tu mimi nikaona ni kawaida kabisa kumbe ni vema aoge mara 2 kwa siku.

Last edited: