Ndiyo, inawezekana kitaalamu, lakini ni tukio la nadra sana linalohitaji masharti maalum ya kibiolojia yatokee kwa mpigo. Hali hii kitaalamu inaitwa Heteropaternal Superfecundation.Kwahiyo anaweza kuwa na mimba kutoka kwa Mwanaume A then baadae akapate kutoka kwa Mwanaume B.
Hata hivyo Dunia inaenda kasi sana....
Serikali inakufunga 30×2Hiyo ni danger zote! Unainyandua kisawasawa ili uoneshe ufundi kumbe kuna yai liko mdomoni😂
Halaf unajikuta umeongea bonge la point, mtumishi wa wizara ya fedhaHapana mkuu, kuna baadhi ya department kwenye idara ya uzazi huwa zinafungwa kwa mda baada ya mwanamke kupata mimba,
Miaka 60 jela... 🤣😂Aggregate inasomeka ngapi hapo sasa huyo mwanamke akiwa mwanafunzi
Sayansi ni kubwa mkuu, kuna baadhi ya wanawake huwa wanaenda period huku wana mimba hadi ya miezi mitano.Ila kuna tafiti zimethibitisha mkuuView attachment 3607182