Mathias Emma
Member
- May 31, 2017
- 34
- 72
Kuna mdada anaongea Sana yani ukiwa nae katika mahusiano yeye kila siku kufatilia kupitia majirani au mashoga wa mitaani, hii inakuaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda anakipaji cha uandish wa habar au mtangazaji akajiajiri,Kuna mdada anaongea Sana yani ukiwa nae katika mahusiano yeye kila siku kufatilia kupitia majirani au mashoga wa mitaani, hii inakuaje?
[emoji16][emoji16][emoji16]nitaubeba
Kuishi na mwanamke wa kuongea ongea na kelo kweli kweli..Kuna mdada anaongea Sana yani ukiwa nae katika mahusiano yeye kila siku kufatilia kupitia majirani au mashoga wa mitaani, hii inakuaje?
Unataka kuoa?Kuna mdada anaongea Sana yani ukiwa nae katika mahusiano yeye kila siku kufatilia kupitia majirani au mashoga wa mitaani, hii inakuaje?
ExactlyMwanamke akiongea sana anapoteza Mvuto, sifa ya mwanamke aongee kidogo, Woman with few Words...
Kuongea ongea kama radio sio wala nini,Mwanamke sifa yake ni ukimya Mdomo kazi yake Kula tu tutakavyoleta.
Huyo kashakosa sifa ya U mrs... otherwise umfanye nyumba ndogo.