Je, mwanamke muongeaji sana anafaa kuolewa?

Mathias Emma

Member
Joined
May 31, 2017
Posts
34
Reaction score
72
Kuna mdada anaongea Sana yani ukiwa nae katika mahusiano yeye kila siku kufatilia kupitia majirani au mashoga wa mitaani, hii inakuaje?
 
Kimbia kabisa tena usigeuke nyuma kwa sisi wazoefu tunakushauri jema.
 
Mwanamke akiongea sana anapoteza Mvuto, sifa ya mwanamke aongee kidogo, Woman with few Words...

Kuongea ongea kama radio sio wala nini,Mwanamke sifa yake ni ukimya Mdomo kazi yake Kula tu tutakavyoleta.

Huyo kashakosa sifa ya U mrs... otherwise umfanye nyumba ndogo.
 
Exactly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…