Je mwanamke uko tayari?

we wamoto kerege bado aujampata BHOKE??
njoo bas uku nikukonyeze wakat unamsubiria NYAMBURA WAKO....
 
Nimeipenda sana,mwanamke mwenye akili anapaswa kuwa na list hii ya NO na YES kama anataka mwenza mzuri....:smile-big:
 
si unajua bado mapema kusema nimepata? Ila sijaona pm yako kulikoni?

mmmhh jamani waonaje kama tujianza hapa hapa kwanza..
mmhh kama tunaendelea vizuri tuingie chumbani
hahah lol...
hatuwezi waacha wageni halafu tuingie chumbani au wasemaje??
 
si haya 2memaliza zamani. all the best Jaluo.
 
mmmhh jamani waonaje kama tujianza hapa hapa kwanza..

mmhh kama tunaendelea vizuri tuingie chumbani
hahah lol...
hatuwezi waacha wageni halafu tuingie chumbani au wasemaje??

hahahaa kwa hiyo tuanzie sebuleni kwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…