Je mwanamke unayetaka kuoa anakupenda au wewe ndiyo umempenda?

Anold

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2010
Posts
1,456
Reaction score
615
Watu wengi hasa vijana waliofiksha muda wa kuoa au kuolewa wengi wanatamani sana maisha ya kuwa na wenza wa maisha yao. Harusi nyingi huandaliwa kwa gharama kubwa kiasi ambacho kwa mtu ambaye huna kitu unaweza kuogopa kutangazia umma kuwa unampango wa kuoa.

Mara kadhaa nimesikia viongozi wa dini wakilalama kuwa wale waliowafungisha ndoa siku chache zilizopita wamefika ofisini kutaka ndoa yao ivunjwe au zimeshavunjika. Unaweza kujiuliza na kukosoa watu hawa ukizingatia gharama zilizotumika kuziandaa ndoa hizo kwa maana ya sherehe n.k. “ Suala la kuoa au kuolewa linahitaji uangalifu mkubwa mpaka Kufikia hatua ya kumteua na kumtangaza kuwa huyu ndiyo mtarajiwa wakweli. Kwa mwanamme ambaye anataka kuoa mke ni lazima ajiridhishe kuwa anapendwa kwa dhanti na mchumba wake huyo. Vijana wengi wamekuwa wakilazimisha wapendwe na wasichana kwa kuwapa ofa na zawadi mbalimbali hadi kuwalainisha na kutimiza haja zao, wengi wanaofanya hivyo hawana muda wa kujiuliza swali hili kuwa wasichana hao wanawapenda kwa dhati ya moyo wao? Au wamekubali tu kwa zawadi alizotoa? Athari za mwanaume kulazimisha mahusiano hadi kufikia hatua ya ndoa huwagharimu wengi kwani ndoa za aina hiyo haziishi misukosuko na kusalitiana.

Wanaume wengi nimewasikia mitaani wanasema yule binti ananipenda kweli lakini sinampango naye” kwangu mimi hawa wanachezea bahati maana ni nadra na ni bahati ya kipekee unapojikuta msichana ndiye anayekupenda, wasichana/wanawake wengi hulazimishwa kupenda maana wengi hawana uwezo au niseme sio utamaduni kumtamkia kijana wa kiume kuwa anampenda. Hivyo basi ili kijana ufikie hatua ya kutamka kuwa unataka kuoa lazima ujiridhishe kuwa huyo unayemuoa anakupenda kwa upendo wa dhati pengine zaidi yaw ewe unavyompenda. Kinyume chake usije ukashangaa usaliti ukiinuka maana aliyemuyoni mwake sio wewe!!! hivyo usijaribu kuoa binti ambaye hakupendi kwa maana ya kuwa wewe ndiye uliyemlazimisha kwa vishawishi kadha wakadha. (ushauri huu unawahusu vijana wa kiume wanaotaka kuoa)
 
Watu wengi hasa vijana waliofiksha muda wa kuoa au kuolewa wengi wanatamani sana maisha ya kuwa na wenza wa maisha yao. Harusi nyingi huandaliwa kwa gharama kubwa kiasi ambacho kwa mtu ambaye huna kitu unaweza kuogopa kutangazia umma kuwa unampango wa kuoa.

Mara kadhaa nimesikia viongozi wa dini wakilalama kuwa wale waliowafungisha ndoa siku chache zilizopita wamefika ofisini kutaka ndoa yao ivunjwe au zimeshavunjika. Unaweza kujiuliza na kukosoa watu hawa ukizingatia gharama zilizotumika kuziandaa ndoa hizo kwa maana ya sherehe n.k. “ Suala la kuoa au kuolewa linahitaji uangalifu mkubwa mpaka Kufikia hatua ya kumteua na kumtangaza kuwa huyu ndiyo mtarajiwa wakweli. Kwa mwanamme ambaye anataka kuoa mke ni lazima ajiridhishe kuwa anapendwa kwa dhanti na mchumba wake huyo. Vijana wengi wamekuwa wakilazimisha wapendwe na wasichana kwa kuwapa ofa na zawadi mbalimbali hadi kuwalainisha na kutimiza haja zao, wengi wanaofanya hivyo hawana muda wa kujiuliza swali hili kuwa wasichana hao wanawapenda kwa dhati ya moyo wao? Au wamekubali tu kwa zawadi alizotoa? Athari za mwanaume kulazimisha mahusiano hadi kufikia hatua ya ndoa huwagharimu wengi kwani ndoa za aina hiyo haziishi misukosuko na kusalitiana.

Wanaume wengi nimewasikia mitaani wanasema yule binti ananipenda kweli lakini sinampango naye” kwangu mimi hawa wanachezea bahati maana ni nadra na ni bahati ya kipekee unapojikuta msichana ndiye anayekupenda, wasichana/wanawake wengi hulazimishwa kupenda maana wengi hawana uwezo au niseme sio utamaduni kumtamkia kijana wa kiume kuwa anampenda. Hivyo basi ili kijana ufikie hatua ya kutamka kuwa unataka kuoa lazima ujiridhishe kuwa huyo unayemuoa anakupenda kwa upendo wa dhati pengine zaidi yaw ewe unavyompenda. Kinyume chake usije ukashangaa usaliti ukiinuka maana aliyemuyoni mwake sio wewe!!! hivyo usijaribu kuoa binti ambaye hakupendi kwa maana ya kuwa wewe ndiye uliyemlazimisha kwa vishawishi kadha wakadha.

Sasa mbona umeshatoa majibu mwenyewe??? Asante sana
 
Kwahiyo mwanamke yeye ndo wakupenda zaidi alafu afanyiwe usiyotaka mwanaume afanyiwe?Unajua kwamba wapo wadada wanaolazimisha mapenzi?Tengeneza balansi...sema watu wahakikishe wanapendana na sio wanapendwa tu.Unajua kwamba wanaopendwa tu hua wa kwanza kuwakimbia wenzao siku wakikutana na wanaowapenda wao?Ndo unaanza kusikia mtu akiuliza siku zote alikua wapi huyu mpaka nikaoa mtu nisiyempenda!?BALANSI INAHITAJIKA ILI PANDE ZOTE MBILI ZIRIDHIKE.
 
kama utafuatilia vidhuri hiyo tahadhari ni kwa wanaume tu. Ndiyo walengwa wakuu
 
Kwahiyo wakiwa walengwa wakuu ndo uwashauri waoe wasichana wanaowapenda sana hata kama wao hawawapendi sana?Kama nia yako ilikua kuondoa tatizo hujafanya lolote maana badala ya mwanamke kuvunja ndoa kwasababu hakupenda sana..mwanaume ndo atakaefanya hivyo.Hapo umesaidia nini?Sema watu waoe watu wanaopendana na o na sio wanaopendwa nao!
 
Je mwanamke unayetaka kuoa anakupenda au wewe ndiyo umempenda?

Nilivyoona hizo red tu nikajua ni swali

Ni kweli ila usijali angalia huo ushauri kama unamatic ukiona hauna kauka
 
Kwahiyo wakiwa walengwa wakuu ndo uwashauri waoe wasichana wanaowapenda sana hata kama wao hawawapendi sana?Kama nia yako ilikua kuondoa tatizo hujafanya lolote maana badala ya mwanamke kuvunja ndoa kwasababu hakupenda sana..mwanaume ndo atakaefanya hivyo.Hapo umesaidia nini?Sema watu waoe watu wanaopendana na o na sio wanaopendwa nao!

Nimewalenga vijana wa kiume maana wanapovutiwa na mavazi tu ya msichana hupeleka maombi ya ndoa bila kuangalia kuwa je huyo dada anautayari? "usiombe kuoa mke ambaye kwake wewe hukuwa chaguo lake ila amelazimika utajuta kuzaliwa maana ikitokea vishawishi vyako vimefika tamati umekwisha"
 
Ila ni bora kuoa mwanamke ambae sio chaguo lako 100/100?
 
Wataalam wanashauri uishi na mtu anayekupenda sio unayempenda hii itakusaidia kuepuka mambo mengi. Wewe unatakiwa kuangalia tu kama unaweza kumpenda hata kama itakuchukua muda kujifunza kumpenda kwa kuwa love takes time. Vinginevyo ndio hadithi hizi za kila siku tunazosimuliana hapa jamvini. Ukijua kuwa unapendwa na ukaheshimu hilo utajikuta unafika mbali sana kimapenzi.
 
Kwahiyo wakiwa walengwa wakuu ndo uwashauri waoe wasichana wanaowapenda sana hata kama wao hawawapendi sana?Kama nia yako ilikua kuondoa tatizo hujafanya lolote maana badala ya mwanamke kuvunja ndoa kwasababu hakupenda sana..mwanaume ndo atakaefanya hivyo.Hapo umesaidia nini?Sema watu waoe watu wanaopendana na o na sio wanaopendwa nao!

wanaume wengi sana wanapoingia kwenye mahusiano hawasukumwi na upendo bali ni matamanio. Kama huamini siku ukiongozana na mume wako au mtu wako hata kama unaamini mnapendana kiasi gani angalia mwonekano wake mnapopishana au kuona wanawake wengine. Ndiyo maana unaweza kumpenda sana kijana na kujenga matumaini makubwa ila bado akakumwaga na kukuona unajipendekeza. Hii mada ni pana inawezekana ninachotaka kukieleza kisieleweke vizuri.
 
Anzisha sred mkuu..hilo unalotaka kuongea nalo ni somo
 
duh!! haya sasa, mie sina cha kusema nimelewa ugali wa bada na mlenda!
 
Watu wengi hasa vijana waliofiksha muda wa kuoa au kuolewa wengi wanatamani sana maisha ya kuwa na wenza wa maisha yao. Harusi nyingi huandaliwa kwa gharama kubwa kiasi ambacho kwa mtu ambaye huna kitu unaweza kuogopa kutangazia umma kuwa unampango wa kuoa.

Mara kadhaa nimesikia viongozi wa dini wakilalama kuwa wale waliowafungisha ndoa siku chache zilizopita wamefika ofisini kutaka ndoa yao ivunjwe au zimeshavunjika. Unaweza kujiuliza na kukosoa watu hawa ukizingatia gharama zilizotumika kuziandaa ndoa hizo kwa maana ya sherehe n.k. " Suala la kuoa au kuolewa linahitaji uangalifu mkubwa mpaka Kufikia hatua ya kumteua na kumtangaza kuwa huyu ndiyo mtarajiwa wakweli. Kwa mwanamme ambaye anataka kuoa mke ni lazima ajiridhishe kuwa anapendwa kwa dhanti na mchumba wake huyo. Vijana wengi wamekuwa wakilazimisha wapendwe na wasichana kwa kuwapa ofa na zawadi mbalimbali hadi kuwalainisha na kutimiza haja zao, wengi wanaofanya hivyo hawana muda wa kujiuliza swali hili kuwa wasichana hao wanawapenda kwa dhati ya moyo wao? Au wamekubali tu kwa zawadi alizotoa? Athari za mwanaume kulazimisha mahusiano hadi kufikia hatua ya ndoa huwagharimu wengi kwani ndoa za aina hiyo haziishi misukosuko na kusalitiana.

Wanaume wengi nimewasikia mitaani wanasema yule binti ananipenda kweli lakini sinampango naye" kwangu mimi hawa wanachezea bahati maana ni nadra na ni bahati ya kipekee unapojikuta msichana ndiye anayekupenda, wasichana/wanawake wengi hulazimishwa kupenda maana wengi hawana uwezo au niseme sio utamaduni kumtamkia kijana wa kiume kuwa anampenda. Hivyo basi ili kijana ufikie hatua ya kutamka kuwa unataka kuoa lazima ujiridhishe kuwa huyo unayemuoa anakupenda kwa upendo wa dhati pengine zaidi yaw ewe unavyompenda. Kinyume chake usije ukashangaa usaliti ukiinuka maana aliyemuyoni mwake sio wewe!!! hivyo usijaribu kuoa binti ambaye hakupendi kwa maana ya kuwa wewe ndiye uliyemlazimisha kwa vishawishi kadha wakadha. (ushauri huu unawahusu vijana wa kiume wanaotaka kuoa)

hebu tujaribu kuigeuza hii mada iwe the other way round tuone itakuwaje..
kuoana ni kupendana bwana, na mwanamke akisema hivyo si itakuw balaa ndani ya ndoa.mhh mie simoo
waseme waliooana ndo wana maexperience ya kujibu hili swali
 
Back
Top Bottom