Je, Mwanamke wako anakusaliti? Fahamu viashiria vya Mwanamke anayekusaliti

Thabit Madai

Member
Joined
Oct 8, 2024
Posts
54
Reaction score
140
Mdau baada ya mihangaiko ya siku nzima ya kujenga nchi wacha tujipumzishe na hii, tufahamu Indicator za Mwanamke ambae anacheat.

1. Anakua mkali unapomjibu maswali rahisi au anakuuliza kwanza kabla ya kukujibu.

2. Anakuwa na rafiki mpya anaemthamini kuliko hata ndugu zako mara nyingi ndo aliemshawishi.

3. Hakuthamini wewe, anajali zaidi mwonekano wake kwa kuji remba sana specifically anapotoka pekeayake.

4. Anataka kujua zaidi ratiba yako ila usifahamu yake, atahitaji kutoka na rafiki zake sio na wewe tena.

5. Kataanza kuweka strong password kwenye simu.

[ Indicator za mwanaume anae cheat zinafuata ]

CCC Prosper now
 
Wanawake huwa hatucheat, ogopa matapeli.
 
Mpe hela,,,,,! Iwashie moto vzr, hakika utakuwa umemtuliza
 
Ukivuka 30, achana na habari zao...jali ya kwako mtoto wa kiume; afya, erection, nguvu ya kiume(fwedha), furaha, wazazi wako, maendeleo yako binafsi.

Wakijilengesha, one night stand(tumia vifuko vya askrimu kabla ya kuvaa mpira, chapa ilale) iwahusu; usiweke kambi, wana UTI sugu, ugonjwa wa mauaji, etc

30 na kuendelea, kazana kujifahamu mwenyewe.
 
Back
Top Bottom