Je, Mwanasiasa anayepatia Kiingereza cha Kuandikiwa tu ila Kuongea anaogopa na Yule anayekichapia ila haogopi Kukiongea nani ni Bora?

PhD holder halafu unachapia? Cripes! [emoji848]
Jamani tusidanganyane.Watanzania wengi hatuko huru kuongea kingereza hasa hasa tuliofundishwa miaka saba kwa kiswahili na miaka minne kwa Kingereza
Julius Kambarage Nyerere hakuna alipokutana na Kiswahili katika soma soma yake.Hivyo alikuwa anaweza kujieleza vizuri Kwa Kingereza.Kitendo cha kubadilisha kiswahili kama rugha ya kufundishia imefanya wasomi wengi kuwa dhaifu kujieleza kwa kutumia kingereza
 
NAOMBA NIPENDE KUTAMBUA UWEPO WA MWENYE UZI NA WASHIRIKA WENGINE

Kama Ung'eng'e sio lugha yako, Usiangaike kufurahisha watu ishi Kama SHISHI
 
Jamani tusidanganyane.Watanzania wengi hatuko huru kuongea kingereza hasa hasa tuliofundishwa miaka saba kwa kiswahili na miaka minne kwa Kingereza
Julius Kambarage Nyerere hakuna alipokutana na Kiswahili katika soma soma yake.Hivyo alikuwa anaweza kujieleza vizuri Kwa Kingereza.Kitendo cha kubadilisha kiswahili kama rugha ya kufundishia imefanya wasomi wengi kuwa dhaifu kujieleza kwa kutumia kingereza
Putin wala habongi kingereza akiwa anatoa matamko yake mubashara anaongea kirusi na anaeleweka na haohao waingereza na Americans na viingereza vyao
 
Hata Bi Mkubwa huko Dubai Ma mwinyi ya huko yanapiga Arab tu na Mkalimani ndio anatohoa
Mimi nashangaa hii nchi mpaka saivi Teaching and Learning language Ni English? hii kitu inashababisha tunashindwa kujua kiswahili fasaha.

Mimi Leo nikienda ATM kutoa hela sichagui kiswahili maana naona miyeyusho maneno siyaelewi kwa sababu hayatumiki Sana.
 
Jamani tusidanganyane.Watanzania wengi hatuko huru kuongea kingereza hasa hasa tuliofundishwa miaka saba kwa kiswahili na miaka minne kwa Kingereza
Julius Kambarage Nyerere hakuna alipokutana na Kiswahili katika soma soma yake.Hivyo alikuwa anaweza kujieleza vizuri Kwa Kingereza.Kitendo cha kubadilisha kiswahili kama rugha ya kufundishia imefanya wasomi wengi kuwa dhaifu kujieleza kwa kutumia kingereza
Rugha ❌❌
Lugha ✅✅
 
Mbona wasomi wa zamani walikuwa wanajua kiigereza vizuri tu hata kama kaishia darasa la nne. Yule jamaa wa PhD yeye ilikuwaje mpaka level ile lakini hajui kiingereza wala kiswahili. Ndiyo maana watu wanamashaka na elimu yake pamoja na uraia wake. Alianza kudai yeye ni Muhaya ila huko hakutoboa akahamia kwa wasukuma.
 
Mimi nashangaa hii nchi mpaka saivi Teaching and Learning language Ni English? hii kitu inashababisha tunashindwa kujua kiswahili fasaha.

Mimi Leo nikienda ATM kutoa hela sichagui kiswahili maana naona miyeyusho maneno siyaelewi kwa sababu hayatumiki Sana.
Kutana na simu inayotumia kiswahili, kudadeki hutoweza pata sehemu ya kutumia hata sms
 
Unajua Putin elimu yake alisoma kwa lugha gani?
Ila hata kama elimu unasomea kwa lugha ya tofauti na english ila huwa na somo la english na katika mazingira hayo hayo kuna watu wanakigonga kiinglish vizuri tu.
 
Back
Top Bottom