Je, mwanaume ulishawahi kugeuzwa mchepuko na ukachukulia poa?

Sakwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2022
Posts
246
Reaction score
883
Asalaam waleyikum wanajamvi!

Wakuu poleni na kazi na hongereni, malengo yetu nikufikisha pato la trilioni 1 kama taifa hivyo tusiache kuchapa kazi

Wakuu nilikuwa na mahusiano na mdada huyu mrembo hatari ila baada ya misiguano ya hapa na pale tulishia kuachana huku chanzo ikiwa ni mimi fast forward baada ya miezi 5 tumekutana, tumeanza ku chart mtoto kanitunuku shoo ya nguvu sana

Kipengele kinakuja licha ya kuwa ni single mother na kuna drama za baby daddy wake humo katikati kuna mtu kama sio watu kama mimi tunajipigia tofauti iliyopo ni kwamba mimi si hongi sana kama wenzangu,ila shoo napewa usiku mzima ila simu zake kutwa kucha ziko bize.

Wakuu nakuja kwenu mnipike muwezavyo ila mkiweza nijengeni

Asubuhi njema

Wenu Sakwe bin sakwe

Binadamu Mashaka.
 
Sio tu kuwa mchepuko wa mwanamke, kujua tu kuna mtu wanawasiliana kimahaba, au kuna jamaa alikula juzi na jana...hunioni hapo! Aliwe nisijue!

It's disgusting kulala na mwanamke unajua kabisa mpo wengi, heri usijue!!
 
Asalaam waleyikum wanajamvi!

Wakuu poleni na kazi na hongereni, malengo yetu nikufikisha pato la trilioni 1 kama taifa hivyo tusiache kuchapa kazi

Wakuu nilikuwa na mahusiano na mdada huyu mrembo hatari ila baada ya misiguano ya hapa na pale tulishia kuachana huku chanzo ikiwa ni mimi fast forward baada ya miezi 5 tumekutana, tumeanza ku chart mtoto kanitunuku shoo ya nguvu sana

Kipengele kinakuja licha ya kuwa ni single mother na kuna drama za baby daddy wake humo katikati kuna mtu kama sio watu kama mimi tunajipigia tofauti iliyopo ni kwamba mimi si hongi sana kama wenzangu,ila shoo napewa usiku mzima ila simu zake kutwa kucha ziko bize.

Wakuu nakuja kwenu mnipike muwezavyo ila mkiweza nijengeni

Asubuhi njema

Wenu Sakwe bin sakwe

Binadamu Mashaka.
Wese jingi... Usisahau wese jingii
 
Back
Top Bottom