Je, mwanaume ulishawahi kugeuzwa mchepuko na ukachukulia poa?

KUNA EX MMOJA WEEK ILIYOPITA ALINILETEA ZAWADI FULANI AMBAYO HUWA NI NGUMU SANA KUTOLEWA NA MTOTO WA KIKE. SASA SIJAJUA KAMA AKILINI MWAKE ANAWAZA KWAMBA NINAWEZA KUWA MCHEPUKO WAKE AU LAH
 
Sio tu kuwa mchepuko wa mwanamke, kujua tu kuna mtu wanawasiliana kimahaba, au kuna jamaa alikula juzi na jana...hunioni hapo! Aliwe nisijue!

It's disgusting kulala na mwanamke unajua kabisa mpo wengi, heri usijue!!
Ilibidi awe na mtazamo kama wako
Sema hashafeli maana na yeye anafurahia kuwa mchepuko.
 
ISHI UPENDAVYO ILA LIKIKUKUTA LA KUKUKUTA NI LAKO. MAISHA HAYANA FORMULA.
 
Sio tu kuwa mchepuko wa mwanamke, kujua tu kuna mtu wanawasiliana kimahaba, au kuna jamaa alikula juzi na jana...hunioni hapo! Aliwe nisijue!

It's disgusting kulala na mwanamke unajua kabisa mpo wengi, heri usijue!!
hawa wanaouza papuchi wanawezaji kupata wateja wale wa HIGH END ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…