Je, mwanaume ulishawahi kugeuzwa mchepuko na ukachukulia poa?

Sio tu kuwa mchepuko wa mwanamke, kujua tu kuna mtu wanawasiliana kimahaba, au kuna jamaa alikula juzi na jana...hunioni hapo! Aliwe nisijue!

It's disgusting kulala na mwanamke unajua kabisa mpo wengi, heri usijue!!
Bora ukale malaya tu kuliko kuwa kwenye mahusiano ya namna hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…