Uchaguzi 2020 Je, Mwenyekiti Mbowe amemsusia Lissu kampeni?

Chadema hakuna umaskini.
Kwa mini mmezuia chopa?
Ila baada ya uchaguzi tutawaletea bill ya tra yw matangazo.
Nyi so wajanja?.tutaona sasaa nano mjanja
 
Hali mbaya jimboni kwake, anapambana na hali yake. BTW anajua Tundu hawezi kushinda.

Hata Nyalandu anapambana kivyake
 
we unachekesha kweli, Mbowe pia ni mgombea ubunge kule Hai halafu unataka muda wote aambatane na mgombea urais kote nchini?!

itakuwa umetumwa na mbogamboga anayegombea Hai ili apate nafuu kwenye uchaguzi maana ni wazi atakuwa kabanwa kisawasawa
A lying CCM agent.
 
Unamaanisha mangula haonekani kabisa?

Rais ni Tundu Lissu
 
mkiwa vitani mnapambana na adui hamtakiwi kwenda wote kwa pamoja wengine wanabaki kupanga mikakati,kule upareni zamani mkienda kuiba wengine wanabaki nyumbani kushika mafiga,wapare wanaelewa maana yake
 
Mbowe yupo mahali hela ipo , si unaona zile kampeni za lowasa?? Alishiriki kikamilifu.

Lisu hana kitu, kapewa kugombea kama sehemu ya matibabu tu (therapy ) baada ya kutwangwa risasi.

Kama asingempa kugombea angepata laana.
 
Bwashee Hebu twambie kwenye hizi kampeni Mwenyekiti mbona yuko kimya sana?

Kwani mwenyekiti ndio anagombea urais? Hata kwenye kampeni hizi anayesikika huko ccm ni Magufuli maana yuko kwenye fiesta, hao wengine hawana fiesta ndio maana hawasikiki. Hata kabla ya kuja Lisu siasa zilikuwa zimepoa, Lisu karudi siasa zikaamka. Kama unaona Mbowe kachukia nenda ukakae naye umfurahishe.
 
Hakuna kitu kibaya kama utapeli Nyalandu alikuwa genuine na ana genuine sponsors ambao wangemwaga pesa Chadema na kwa wagombea wote wabunge na madiwani Akaja Tapeli Lisu anazurura kwa pesa za wagombea wenyewe ndio waandae jukwaa na gharama zote yeye kazi yake kupeleka picha ubelgiji na kwa Amsterdam pesa ziingizwe akaunti yake ubelgiji kuwa hizo ndio kazi kafanya awe refunded kwenye akaunti yake ubelgij badala ya akaunti ya chama
 
Tabora alikuwepo
 
mbowe yupo busy anafanya Coordination unataka watembee kama mbuzi
 
Haki huinua taifa,na haki ni pamoja na kukiriukweli ,so Kila siku kugeuza ukweli kuwa uongo,na uongo kuwa ukweli kwa maslahi anayojua mhusika
 
Lowasa alikuwa muungwana na ndiyo maana alipata kura 6milion lakini huyu Mnyaturu duuu
 
Hali mbaya jimboni kwake, anapambana na hali yake. BTW anajua Tundu hawezi kushinda.

Hata Nyalandu anapambana kivyake
Hii ndio inabeba ujumbe wa hali ilivyo huko, kila Mtu anatetea hali yake, na Mgombea Urahisi anabebwa na wagombea ubunge wenyewe
 
Mbowe kanuna sana Lisu hana hela anamkwapua tu

Lisu sio Lowassa, Lisu analimudu vizuri jukwaa, kampeni za 2015 Lowassa alikuwa hawezi kuongea chochote, hivyo ilibidi Mbowe apambane na kimeo chake. Kampeni hizi hakuna hela, hivyo hakuna haja ya viongozi wote kuzunguka pamoja na kuongeza gharama, huku mgombea akiwa anauzika. Huyo Mbowe unayesema kamsusia kazunguka sehemu kibao na Lisu. Lowassa alikuwa ni kuku mgeni 2015, na mgonjwa juu, hivyo viongozi wa chama walipaswa kuzunguka naye.

Kampeni hizi ndio sehemu ya kupima uimara wa chama, kuwa mbali ya changamoto ya siasa za kidictator, lakini bado mgombea anaweza kuzunguka mikoa mingi bila viongozi wengine wa juu, na bado akapata maandalizi makubwa ya kichama huko alipo.
 
Lowasa alikuwa muungwana na ndiyo maana alipata kura 6milion lakini huyu Mnyaturu duuu

Ahaaaa ahaaaa eti Lowassa alikuwa muungwana ndio maana akapata kura 6m. Hizo kura milioni 6 kawepeni Membe na Lipumba kwa uungwana wao. Lisu pasua mabusha hawa ccm mpaka akili ziwakae sawa.
 
Wagombea ubunge na udiwani sio sahihi kuandaa mikutano ya mgombea uraisi kwa gharama zenu yeye ndio anatakiwa kuandaa toka Chadema ianzishwe wagombea uraisi mikutano yao wao ndio walikuwa wakuiandaa sio wabunge na madiwani haijawahi tokea

Hiyo ndio maana ya chama kuwa imara. Hata chaguzi zote zilizopita mgombea uchaguzi alikuwa anachaguliwa na jopo la viongozi kadhaa, ila safari hii kapatikana kwa kura za wajumbe wa mkutano mkuu. Safari hii mtapoteana kwa sababu za kuokoteza.
 
Hiyo ndio maana ya chama kuwa imara. Hata chaguzi zote zilizopita mgombea uchaguzi alikuwa anachaguliwa na jopo la viongozi kadhaa, ila safari hii kapatikana kwa kura za wajumbe wa mkutano mkuu. Safari hii mtapoteana kwa sababu za kuokoteza.
Pesa za wagombea uraisi ubunge na udiwani Chadema toka ianzishwe zilikuwa zikitoka vyanzo viwili miaka yote cha kwanza kutoka kwa mgombea uraisi na wafadhili wake binafsi wa ndani na nje cha pili toka kwenye ruzuku ya chama inakuwaje Leo wagombea ubunge na udiwani ndio waandae mikutano ya mgombea uraisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…