Je, Mwenyekiti mpya BAVICHA, Wakili Deogratius Mahinyila ni nani?

Je, Mwenyekiti mpya BAVICHA, Wakili Deogratius Mahinyila ni nani?

Kwa ushindi wa huyu learned brother na ushindi wa lisu tar 21 utachochea vijana wengi hasa wanazuoni wanaojitambua kujiunga chadema kwakuwa imani yao sasa itarudi kwa kasi sn ikizingatiwa siasa za sultan mbowe zilikuwa hazieleweki vijana wengi waliamua kukaa pembeni
 
Toka maktaba:

1736933359063.jpeg
Picha maktaba : Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa Chadema Taifa kamanda Twaha Mwaipaya (kushoto), wakili Deogratius Mahinyila (kati) na wakili Boniface Mwabukusi (kulia) wakiteta jambo nje ya Mahakama Kuu
 
majibu ya rufaa za wagombea wao kutoka kamati ya rufaa,juu ya wagombea walioenguliwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa.Hayo yamejiri leo Novemba 15, 2024

31 January 2025
Kijiji cha Berege
Mpwapwa Tanzania

Hatimaye wakili Deogratius Mahinyila arudi kijijini Berege wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma na kupokewa na kijiji kizima cha Berege baada ya kushinda uchaguzi na kuwa mwenyekiti wa BAVICHA taifa


View: https://m.youtube.com/watch?v=foYJb8iHSt4
 
Back
Top Bottom