Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Great MkuuHuyu wakili ni ngumu sana, amepitia mengi lakini hakukengeuka.
View attachment 3202018
Picha maktaba: Wakili Deo Mahinyila akiwa na Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu
Inaonesha sasa hamahama imeishia kwa mjomba mchungaji Peter Msigwa.
Panawasha panaumaHata sijawahi msikia
majibu ya rufaa za wagombea wao kutoka kamati ya rufaa,juu ya wagombea walioenguliwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa.Hayo yamejiri leo Novemba 15, 2024
Ukishajua ikusaidie nn, mwache kijana apige kazi kashapata fursaMtueleze tafadhali, yuko upande upi? wa MBOWE au LISSU?....Jibu litatupa dira ya Uchaguzi ujao wa wawili hao.