Utakuwa unavunja katiba kumfanya apishe ili upate KatibaUnaonaje tukishauri akae pembeni kupisha mabadiliko, maana ameonekana kuyumba kimaamuzi wakati tukiendelea na mchakato wa kupata Katiba mpya?
Nani kakuambia Katiba ya USA yenye miaka 2 imetatua matatizo? Je wale homeless kibao na weusi wanaobaguliwa uzuri wa Katiba ya USA umewasaidia vipi?Kwahiyo unaniambe kwa katiba ya USA ambayo imetengenezwa miaka 200 iliyopita hiyo si itakuwa takataka sio au?
Amesikika Jana akisema Katiba ni kakijitabu tu.Utakuwa unavunja katiba kumfanya apishe ili upate Katiba
Nadhani kumpeleka mahakamani aliyekuwa mwenyekiti wa Bunge la Katiba mahakamani inawezekana,Basi tumpeleke mahakamani kwakuwa tunawaza ana stahili kuhukumiwa Kwa Makosa ambayo sisi tunaona ni kinyume na natamanio yetu, maana Katiba haina maana tunaende na morals tu bila hizo morals kuwa guided😨😰
Maswali haya muhimu yakupeleke kupata elimu kuhusu CCM kwa mapana zaidi.Itakumbukwa kuwa, kabla ya zoezi la kukusanya maoni ya Katiba chini ya Warioba, Katiba hii ya 1977 ilitolewa copy na kugawiwa Kwa wananchi tuisome na kuelimishana vijiweni masokoni na sehemu mbalimbali na zoezi hili lilifanikiwa vizuri!!
Kutuambia turudi Kuelimishwa tena na watu watu wale wale Kwa miaka 3,wakati tunayo Rasimu ya Warioba kabatini ya kuanzia mnatuonaje wananchi,
Je, Wawili Hawa ni UMOJA au ni wawili Tofauti Kila Mmoja Kwa nafasi yake?
1. Je, mchakato wa KATIBA mpya Awamu ya nne ulikuwa na dosari zipi Hadi turudie kuanza Kutoa ELIMU Kwa miaka mitatu mfululizo?
2. Je, utafiti upi ulifanyika kuonyesha Watanzania hatujui Katiba iliyopo?
3. Je, wote walioshiriki katika mchakato wa KATIBA Awamu ya nne wanawajibika vipi Kwa pesa za umma zilizotumika?
4. Je, ni sawa kiongozi mmoja kuwa na ndimi mbili bila kuwajibishwa Kwa kauli zake?
5. Je, ni athari zipi zitatokea ikiwa tutaingia uchaguzi ujao bila Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi?
Maswali ni mengi, karibuni🙏
Mambo ya ajabu sanaItakumbukwa kuwa, kabla ya zoezi la kukusanya maoni ya Katiba chini ya Warioba, Katiba hii ya 1977 ilitolewa copy na kugawiwa Kwa wananchi tuisome na kuelimishana vijiweni masokoni na sehemu mbalimbali na zoezi hili lilifanikiwa vizuri!!
Kutuambia turudi Kuelimishwa tena na watu watu wale wale Kwa miaka 3,wakati tunayo Rasimu ya Warioba kabatini ya kuanzia mnatuonaje wananchi,
Je, Wawili Hawa ni UMOJA au ni wawili Tofauti Kila Mmoja Kwa nafasi yake?
1. Je, mchakato wa KATIBA mpya Awamu ya nne ulikuwa na dosari zipi Hadi turudie kuanza Kutoa ELIMU Kwa miaka mitatu mfululizo?
2. Je, utafiti upi ulifanyika kuonyesha Watanzania hatujui Katiba iliyopo?
3. Je, wote walioshiriki katika mchakato wa KATIBA Awamu ya nne wanawajibika vipi Kwa pesa za umma zilizotumika?
4. Je, ni sawa kiongozi mmoja kuwa na ndimi mbili bila kuwajibishwa Kwa kauli zake?
5. Je, ni athari zipi zitatokea ikiwa tutaingia uchaguzi ujao bila Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi?
Maswali ni mengi, karibuni🙏
Hata Mimi Katiba ya kupewa na CCCm siitaki.Maswali haya muhimu yakupeleke kupata elimu kuhusu CCM kwa mapana zaidi.
CCM ni jinamizi fulani hivi ambalo kimsingi ndo linaongoza nchi. Hao watu unaowaona hapo hawafanyi jambo kwa utashi wao.
JPM as case study itupatie darasa muruwa kuhusu CCM.
Katiba Mpya haitakiwi na CCM hakuna rais atakayetuletea katiba yetu wananchi hadi itoke madarakani
Hapana mkuuHata Mimi Katiba ya kupewa na CCCm siitaki.
Nachouliza tu nijue ikiwa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba 2014 na Rais wa sasa ni mtu mmoja au la!!
Hujajibu swali Bado ndugu Msanii!!Hapana mkuu
Yule mwenyekiti wa Bunge la Katiba alikuwa ni mteuliwa na alifuata alichoelekezwa. Huyu rais wa sasa anatenda anachokipiwa.
Naomba usiniulize anapikiwa na nani
Sheria iliyopo inasema kuwa mchakato wa Katiba mpya ukishafanyika inabdi ukamilike ndani ya kipindi cha miaka mitano. Ikishapita mika mitano, maoni yake yanakuwa obsolete na inabidi mchakatoo uanze upya kwa kutafuta maoni mengine upya. Tuna advantage kwamba basis ya maoni mapya tunayo, isipokuwa yale ya mwaka 2014 hayawezi kutumika tena1. Je, mchakato wa KATIBA mpya Awamu ya nne ulikuwa na dosari zipi Hadi turudie kuanza Kutoa ELIMU Kwa miaka mitatu mfululizo?
Ikiwa wananchi tunataka Rasimu na data za Warioba ziwe kitu Cha kuanzia,Sheria iliyopo inasema kuwa mchakato wa Katiba mpya ukishafanyika inabdi ukamilike ndani ya kipindi cha miaka mitano. Ikishapita mika mitano, maoni yake yanakuwa obsolete na inabidi mchakatoo uanze upya kwa kutafuta maoni mengine upya. Tuna advantage kwamba basis ya maoni mapya tunayo, isipokuwa yale ya mwaka 2014 hayawezi kutumika tena
Ninachosema hapa ni kwamba mchakato mpya inabidi ufanyike, hata kama mchakato huo utaishia ku-approve exactly kile kilichowahi kufanyika wakati wa Warioba. Hii haimaanishi kuwa maoni ya tume ya Warioba hayafai, hapana. Ni mchakato mpya unahitajika ambao eventually unaweza ukasihia ku-aaprove kile kile kilichowahi kufanywa na tume ya WariobaIkiwa wananchi tunataka Rasimu na data za Warioba ziwe kitu Cha kuanzia,
Unataka Sema SHERIA haziwezi kurekebishwa?
Hakuna pa kujifichia, wananchi tunataka mchakato Ule ufukuliwe na tuendelee Kutokea hapo!!
Kumbuka pia, wananchi ni Bosses, na Viongozi ni WAAJIRIWA wa wananchi.
Imekuwa.
Amen
Hakuna mchakato mpya wa maoni ya miaka mitatu, ni kiinimacho.Ninachosema hapa ni kwamba mchakato mpya inabidi ufanyike, hata kama mchakato huo utaishia ku-approve exactly kile kilichowahi kufanyika wakati wa Warioba. Hii haimaanishi kuwa maoni ya tume ya Warioba hayafai, hapana. Ni mchakato mpya unahitajika ambao eventually unaweza ukasihia ku-aaprove kile kile kilichowahi kufanywa na tume ya Warioba
Anayepokea maagizo hana namna zaidi ya kuyatekelezaHujajibu swali Bado ndugu Msanii!!
Yule aliyefuata alichoelekezwa na anayeleta alichopikiwa Kuna tofauti Gani sasa?
Kama ni hivyo anazo pingu mikononi zisoonekana Kwa macho ya kawaida.Anayepokea maagizo hana namna zaidi ya kuyatekeleza
Anayepikiwa ana hiyari ya kuyakataa aua kuyatumia.
Pima mwenyewe hapo
Hapo unajaribu kumtetea.Kama ni hivyo anazo pingu mikononi zisoonekana Kwa macho ya kawaida.
Ndiyo ni watu wawili tofauti kikazi ila ki-maisha-binafsi na umbile ni mtu mmoja.Itakumbukwa kuwa, kabla ya zoezi la kukusanya maoni ya Katiba chini ya Warioba, Katiba hii ya 1977 ilitolewa copy na kugawiwa Kwa wananchi tuisome na kuelimishana vijiweni masokoni na sehemu mbalimbali na zoezi hili lilifanikiwa vizuri!!
Kutuambia turudi Kuelimishwa tena na watu watu wale wale Kwa miaka 3,wakati tunayo Rasimu ya Warioba kabatini ya kuanzia mnatuonaje wananchi,
Je, Wawili Hawa ni UMOJA au ni wawili Tofauti Kila Mmoja Kwa nafasi yake?
1. Je, mchakato wa KATIBA mpya Awamu ya nne ulikuwa na dosari zipi Hadi turudie kuanza Kutoa ELIMU Kwa miaka mitatu mfululizo?
2. Je, utafiti upi ulifanyika kuonyesha Watanzania hatujui Katiba iliyopo?
3. Je, wote walioshiriki katika mchakato wa KATIBA Awamu ya nne wanawajibika vipi Kwa pesa za umma zilizotumika?
4. Je, ni sawa kiongozi mmoja kuwa na ndimi mbili bila kuwajibishwa Kwa kauli zake?
5. Je, ni athari zipi zitatokea ikiwa tutaingia uchaguzi ujao bila Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi?
Maswali ni mengi, karibuni[emoji120]
Najiuliza ikiwa GETI la Mbinguni watapokelewa!!Ndiyo ni watu wawili tofauti kikazi ila ki-maisha-binafsi ni mtu mmoja.
Tulitukanwa bila kujua. Je, tuna vichwa vigumu na hatufundishiki kirahisi na tunaitaji tena elimu ya miaka 3?. Je, kazi iliyofanyika tangu tume za kina Kisanga, Nyalali, na baadae Warioba ni kazi bure? na lile bunge la katiba la Kikwete je, vyote ni bure?Itakumbukwa kuwa, kabla ya zoezi la kukusanya maoni ya Katiba chini ya Warioba, Katiba hii ya 1977 ilitolewa copy na kugawiwa Kwa wananchi tuisome na kuelimishana vijiweni masokoni na sehemu mbalimbali na zoezi hili lilifanikiwa vizuri!!