Je, Mwenyekiti wa Bunge la Katiba 2014 na Rais wa sasa, ni watu wawili Tofauti?

Kumbuka CCM ndiyo iliyokupa amani mpaka Leo unaweza kuandika haya Kwa ujasiri wote. CCM ni taasisi tena imara, lakini Haina maana CCM haiwezi kuwa na watu waovu ambao ni muda tu nao watapotea. Haina maana napinga Katiba mpya no, napinga kunisema CCM wakati Wana CCM nchi nzima wapo walio wazuri na wabaya kama ilivyo Kwa vyama vingine
 
CCM imenipa amani?
Watanzania ni watu wa amani. Angalia wanachama wa CCM na idadi ya Watanzania.

Pili ni kwamba, CCM imegeuka jinamizi sasa ndo maana wewe na mimi tunatumia fake IDs humu
 
Rekebisha hapo,

Mungu ndiye Amani, ndiye atupaye Amani sio CCM.
 
Hapo nakubali mtumishi, nimekosea Mimi nimekosea Mimi nimekosea sana
It's ok,

CCM iliaminiwa na Mungu na kupewa KIBALI kutuongoza wananchi Kwa HAKI,

CCM kama chama kimfumo na kimuundo Bado ni chama kizuri ikiwa tu itafanikiwa kujitenga na mdudu RUSHWA.

Chama hiki kisipotubu na kurudi katika msingi wa uanzishwaji wake, Giza liko mbeleni.

Na huko mbeleni Si mbali,ni hapo tu 2024&2025, na tumepewa kiongozi mwanamke makusudi Ili tucharazwe, tuadhibiwe.

Tukifaniniwa kurekebisha msingi huo Kwa mchakato wa KATIBA salama, basi tutangaa tena,

La, tutafute pa kukimbilia ambako kiuhalisia hapapo pakukimbilia.

Amen
 
Reactions: Ame
Hiyo elimu ya katiba ni mbinu za kula pesa za wananchi na kuchelewesha kwa makusudi mchakato wa katiba mpya kwa maslahi ya Ccm.
 
Hiyo elimu ya katiba ni mbinu za kula pesa za wananchi na kuchelewesha kwa makusudi mchakato wa katiba mpya kwa maslahi ya Ccm.
Pesa hizo zingetumika kuhakikisha angalau watoto shule za kata wanapata japo uji shuleni Ili waelewe wafundishwacho na walimu wao!!
 
Ile Tume huru ya Uchaguzi iliyotokana na maoni ya wananchi ndio hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…