Atafutiwe mume., akikaa na ugwadu atatumaliza watanganyika. Napendekeza aolewe na Museveni.Rais-Japo haramu- Wa Serikali ya Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania ni Mjane sasa.Je Katiba Ina lipi kuhusu Taifa kuongozwa na Single Mama/Mjane?.
Je Mazishi/Msiba wake ni wa Kitaifa, wa Bendera kupepea nusu Mlingoti au?
Hakuna kitu kama hicho. Hakuna cha msiba wa Kitaifa wala bendera kupeperushwa nusu mlingoti. Labda tuamue tu kufanya hivyo kwa lengo la kujifurahisha.
Kama marekani juzi doly Parton alishushiwaMisiba ya kitaifa ni ile ambayo imebeba uzito na Simanzi.
Lakin pia Raisi ana mamlaka ya kuiambia Serikali ishushe bendera nusu mlingoti kwa msiba wowote ambao una maslahi na Taifa.
Mfano gar ikipinduka na meli nk . Na ajali ikaua raia wengi. Anaweza akaamrisha nusu mlingoti au asiamrishe.
Mfano pia Raisi wa nchi jiran akifariki. Anaweza kuamua au asiamue.
Kwahiyo nusu mlingoti mara nyingi ni busara za Raisi.. na sio miongozo ya Sheria wala Katiba.
Hakuna hiyoJe Mazishi/Msiba wake ni wa Kitaifa, wa Bendera kupepea nusu Mlingoti au?
Mjuzi wa Katiba ni naniWajuzi w katiba watusaidie
Ulifanya hivyo kwa mamaako?Tumtafutie mume ama?!
Kibla Sir ataendelea alipoishiaTumtafutie mume ama?!
Atuamrishe tushushe bendera nusu mlingoti kwa msiba huu wa Mzee AmeirMisiba ya kitaifa ni ile ambayo imebeba uzito na Simanzi.