Hivi umri ule anakua na nyeg.e?Atafutiwe mume., akikaa na ugwadu atatumaliza watanganyika. Napendekeza aolewe na Museveni.
Rais wa nchi ni zao la katiba, kwa hiyo basi yeye binafsi ndiye pekee anatambulika kwa mamlaka yake yaliyowekwa kikatiba na si vinginevyo.Je Mazishi/Msiba wake ni wa Kitaifa, wa Bendera kupepea nusu Mlingoti au?
Dah.Atafutiwe mume., akikaa na ugwadu atatumaliza watanganyika. Napendekeza aolewe na Museveni.
😁 we jamaa fala sanaAtafutiwe mume., akikaa na ugwadu atatumaliza watanganyika. Napendekeza aolewe na Museveni.
Kwani hata huyo Ameir alikuwa ni mume wake au Mzazi mwenzie!Atafutiwe mume., akikaa na ugwadu atatumaliza watanganyika. Napendekeza aolewe na Museveni.
Katuzalia dula chinja chinja wa October 29Sasa huyu kalifanyia nini taifa hadi bendera igome kwenda kileleni?
Ni sawa na Raisi Muislamu mwanaume akiwa madarakani alafu awe na Wake wanne. Je wote watakuwa na haki ya kuwa First Ladies?.Naongezea swali.
Je mwenza wa Rais akifariki halafu huyo rais akaoa au akaolewa na mtu mwingine na ikatokea huyo rais naye akafariki, Je ile stahiki ya mafao ya 80% anayopewa mwenza itapaswa kupewa huyu mwenza mpya aliyebaki? Au stahiki ni kwa mwenza wa mwanzo tu?
Pascal Mayalla
AahaaaaSasa huyu kalifanyia nini taifa hadi bendera igome kwenda kileleni?