Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,814
nilikua ivyo ivyo kwa mdogo wangu.ila yaliyotokea !!mungu amlaze mahala pema peponi.ila unaishia kuvuna lawama tu.haya mambo yanataka hofu binafsi na uelewa binafsi.ila jua tu mtoto wa kike ni changamoto sana na tena saanadawa ni moja ,upendo kwa watoto wako ukiwa ni real they will never let u down,kama baba watoto wawe kama marafiki zako ongea nao ,waelimishe ili wajielewe sio kupata uelewa huu kwa marafiki zao au jirani zao,waelewe miili yao na mabadiliko yanayotokea ndani ya miili yao,mtoto au mama au baba lazima lugha hii ya I love you iwe ni ya kweli,eye contact ili kupata ukweli,elewa vitisho,ghasira,vipigo vitakuharibia familia yako,good luck
haisaidii ni kuomba Mungu tudawa ni moja ,upendo kwa watoto wako ukiwa ni real they will never let u down,kama baba watoto wawe kama marafiki zako ongea nao ,waelimishe ili wajielewe sio kupata uelewa huu kwa marafiki zao au jirani zao,waelewe miili yao na mabadiliko yanayotokea ndani ya miili yao,mtoto au mama au baba lazima lugha hii ya I love you iwe ni ya kweli,eye contact ili kupata ukweli,elewa vitisho,ghasira,vipigo vitakuharibia familia yako,good luck
siyo wakike tu hata wakiumenilikua ivyo ivyo kwa mdogo wangu.ila yaliyotokea !!mungu amlaze mahala pema peponi.ila unaishia kuvuna lawama tu.haya mambo yanataka hofu binafsi na uelewa binafsi.ila jua tu mtoto wa kike ni changamoto sana na tena saana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ulivokuaga?Anakua mjeuri mjeuri.