Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,365
- 14,187
Na wa kiume akianza kubandua anakuajeNakujibu Kisaikolojia na ndivyo huwa ilivyo.
Naturally Mtoto wa Kike akianza tu ' Kubanduliwa ' mara nyingi akiwa anakutaka na Mama yake Mzazi ataanza kudharau, kutomuogopa, kumjibu hovyo na kuwa mbishi mbishi Kwake.
Naturally Mtoto wa Kike akianza tu ' Kubanduliwa ' mara nyingi akiwa amekaa au amekutana na Baba yake Mzazi hatokuwa anakwepesha macho yake Kwake na atakuwa akiongea nae hamwogopi na anamuangalia bila kupepesa na Kiburi kikizidi pindi akiwa anazungumza nae.
Fuatisha kwa umakini sana hayo mambo mawili niliyoyaweka hapo na nitaomba ukiyafanyia Kazi mwenyewe basi uniletee mrejesho ila hivyo ndivyo ilivyo.