miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
kuwa karibu naye tokea akiwa mtoto utaona mabadiliko tu na utajua wameshaanza kumchokonoa
ukimfundisha woga atatafuta namna tu yakulikaDah...anatakiwa ajawe na hofu......mpe kipondo kikali hata kama ni kwa kosa la kumsingizia ili awe anakuogopa AU mfundishe sana mambo ya dini ili awe na hofu ya Mungu...bila hivyo hakuna namna....😎😎
Hilo n kwel 100% unayowafanyia watoto wa wenzio na wako atafanyiwa kipimo hicho hichoKama uliwatumia mabint za wenzio nawe wako atatumiwa tu
Ndo ulivokuaga?
Dah...Dawa ya binadamu ili awe na nidhamu ni kumtia HOFU tu hakuna namna😀😀😀😀ukimfundisha woga atatafuta namna tu yakulika
nilikua ivyo ivyo kwa mdogo wangu.ila yaliyotokea !!mungu amlaze mahala pema peponi.ila unaishia kuvuna lawama tu.haya mambo yanataka hofu binafsi na uelewa binafsi.ila jua tu mtoto wa kike ni changamoto sana na tena saana
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah, inasikitisha pale una kabinti ka sekondari kanakuamkia shikamoo kwa adabu zote alafu kesho unasikia kanatembea na mwalimu ambaye ni umri tu sawa na wewe mzazi...
Sasa ningependa kujua wale wenye uzoefu, je unawezaje kujua kuwa binti yako vijana wemeshaanza kumtumia ili uweze kuchukua hatua stahiki za kuzuia uharibifu huo usiendelee?
Looh balaaAtaanza kukuona wewe mzazi wake kama mtu wa kawaida tu kwa sababu anakujua kindakindaki kwa kufananisha size halisi aliyoonja na wewe binafsi.
Sahihi hata kwa kakazake hivyo hivyoNakujibu Kisaikolojia na ndivyo huwa ilivyo.
Naturally Mtoto wa Kike akianza tu ' Kubanduliwa ' mara nyingi akiwa anakutaka na Mama yake Mzazi ataanza kudharau, kutomuogopa, kumjibu hovyo na kuwa mbishi mbishi Kwake.
Naturally Mtoto wa Kike akianza tu ' Kubanduliwa ' mara nyingi akiwa amekaa au amekutana na Baba yake Mzazi hatokuwa anakwepesha macho yake Kwake na atakuwa akiongea nae hamwogopi na anamuangalia bila kupepesa na Kiburi kikizidi pindi akiwa anazungumza nae.
Fuatisha kwa umakini sana hayo mambo mawili niliyoyaweka hapo na nitaomba ukiyafanyia Kazi mwenyewe basi uniletee mrejesho ila hivyo ndivyo ilivyo.
Pole MHENGA! Kabint kako bado kadogo Ila muhimu kumshirikisha mama yake kama yupoDah, inasikitisha pale una kabinti ka sekondari kanakuamkia shikamoo kwa adabu zote alafu kesho unasikia kanatembea na mwalimu ambaye ni umri tu sawa na wewe mzazi...
Sasa ningependa kujua wale wenye uzoefu, je unawezaje kujua kuwa binti yako vijana wemeshaanza kumtumia ili uweze kuchukua hatua stahiki za kuzuia uharibifu huo usiendelee?
Embu dadavua kidogo tujifunzenilikua ivyo ivyo kwa mdogo wangu.ila yaliyotokea !!mungu amlaze mahala pema peponi.ila unaishia kuvuna lawama tu.haya mambo yanataka hofu binafsi na uelewa binafsi.ila jua tu mtoto wa kike ni changamoto sana na tena saana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa kiume kivipi?siyo wakike tu hata wakiume
Inalipa sioKama uliwatumia mabint za wenzio nawe wako atatumiwa tu
wee wanachezewa siku hizi.tuwe makini ndo mwanzo wa mtoto kuwa shogaWa kiume kivipi?
We jamaa hukosagi jibuNgoja wazazi wenye uzoefu waje