Je, mzazi anawezaje kujua kama binti yake wameshaanza kumtumia?


Nakujibu Kisaikolojia na ndivyo huwa ilivyo.

Naturally Mtoto wa Kike akianza tu ' Kubanduliwa ' mara nyingi akiwa anakutaka na Mama yake Mzazi ataanza kudharau, kutomuogopa, kumjibu hovyo na kuwa mbishi mbishi Kwake.

Naturally Mtoto wa Kike akianza tu ' Kubanduliwa ' mara nyingi akiwa amekaa au amekutana na Baba yake Mzazi hatokuwa anakwepesha macho yake Kwake na atakuwa akiongea nae hamwogopi na anamuangalia bila kupepesa na Kiburi kikizidi pindi akiwa anazungumza nae.

Fuatisha kwa umakini sana hayo mambo mawili niliyoyaweka hapo na nitaomba ukiyafanyia Kazi mwenyewe basi uniletee mrejesho ila hivyo ndivyo ilivyo.
 
Sahihi hata kwa kakazake hivyo hivyo
 
Lazima apende vtu vilvyo inje ya uwezo. penda penda sana hela nakupenda kwenda sawa na game ya fashion inavyo enda uwongo mwingi hapendi ajulikane wapi anaenda .hataki kufuatiliwa tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole MHENGA! Kabint kako bado kadogo Ila muhimu kumshirikisha mama yake kama yupo

Tunakosea sana Tunapatia kidogo...
 
Ukimuona kiuno kimekua chepesi,hana aibu tena mbele ya wanaume anafanya mambo yake kwa kificho,kuja na vitu ambavyo hajanunuliwa na familia hapo ujue watu weshasomba makinikia
 
anaanza kua msafi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa na anakua hapendi kuwa karibu na wanafamilia,anakua anapenda kuwa peke yake au na House gal kama yupo coz huyo ndio anakua msiri wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…