Je, mzazi anawezaje kujua kama binti yake wameshaanza kumtumia?

Na wa kiume akianza kubandua anakuaje
 
Watoto wa kike wanajifunza kutoka kwa mama zao,...siku izi wanawaita msiri wangu manake nn,...???
 
Hamna haniumi hata kdgo ila inaonekana unawachukia sana wanaume Cjui wamekuchezea sana?
Nawachukia au nimesema ukweli...binafsi nimejitambua nikiwa mdogo sana ilikuwa vigumu kuchezewa.ila najua changamoto wanazopitia mabint ikiwemo kusumbuliwa sana na watu wazima....so hapa tunakumbushana tu vijana zambi zetu zinatesa vizazi vyetu.
 
Tatzo ukweli wako unausema kwa hasira mno
 
Akiita mama Sauti inakuwa nyororoo km yupo na Mimi vile.
 
Ttz la kizazi hiki, kila kitu wanataka kujaribu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me too umejiandaje na hii changamoto???
 
Ataanza kukuona wewe mzazi wake kama mtu wa kawaida tu kwa sababu anakujua kindakindaki kwa kufananisha size halisi aliyoonja na wewe binafsi.
Haswa! Kama bado hata awe na miaka 25 anaweza kutaka baba akukalie mapajani na kila wakati wewe ni hero wake ila akiitoa k yake kwa muuza chips au bodaboda anakuona kama shamba boy. Hata mke wako akianza kuigwa utaona hakushirikishi katika mambo yake na dharau zinaanza. Chezea nguvu ya dushe wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…