Je, mzazi anawezaje kujua kama binti yake wameshaanza kumtumia?

Shida Ni kwamba hawa watoto Ni kama embe bichi..wakati wewe ukisubiri liive wenzako wanalila na chumvi.
 
baadhi ya kabila huwa wanachunguza, wanampekenyua binti hadi atakapoolewa ili aolewe akiwa bikra. sema watu tunatofautiana makabila. pia, ukubwa wa maziwa na kudondoka maziwa, kumwona anapenda kufanya vitu kwa sirisiri, kama ni simu anaongea kwa siri, pia akiwa chumbani anapenda kuongea kwa simu au mapozi yake tu ukimwangalia utamuona hapo tayari, uvaaji wa nguo, ushindani na wanawake wenzie....halafu kwa sisi wababua kwa mabinti zetu tunakumbukia namna binti anayetafunwa anakuwaje hata binti yako ukimwangalia nyendo zake utakumbukia wewe ulipokuwa unamfukuzia mamayao mama yao alikuwa ana behave namana gani basi na binti akiwa hivyo jua tayari. cha muhimu mwelekeze mama yake akakae naye chumbani ampe ushauri tu wa kujikinga na magonjwa au kuabstain ampe faida na hasara etc ili asije kuruka ukuta akafanya kwa siri bila umakini ukampoteza kwa magonjwa haya ya siku hizi mapema kuliko ulivyotarajia.
 
Nichumu ukiniambia kama wewe ni me au ke ntakupa ushauri na jibu mubashara kabisa juu ya swali lako
 
Shikamoo.....

Kumbe usiku namla mwalimu rose

Hii dunia maisha magumu ila matamu aisee...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…