Kwa akili yako Putin anajuwa lugha moja tu?Wewe tu unashobokea kiingereza kamuulize swali hilo Putin atakupa jibu.
Mgombea huyo kasoma hadi PhD kwa kiingereza, lkn kaendelea kuwa kiazi!Kuna 'Mgombea' Mmoja hivi ( bahati mbaya Jina lake limenitoka ghafla tu ) nami natamani kweli kweli akishamaliza tu Ratiba yake ya Kugawa 'Kopi' za 'Vinyago' vyenye Mbuga zetu za Wanyama kwa Wageni wake Waalikwa basi nae akatishe zake aende Kupiga 'Stori' mbili tatu hivi na Balozi wa Marekani kama ambavyo leo 'Mgombea' Tundu Lissu amefanya...
Hivi hamuoni aibu !!!Duh...yaani wewe kweli hujaelimika....yaani bado unafikiri kufahamu kiingereza ndiyo sifa?! Nenda mwananyamala na kinondoni utawakuta wamalawi wengi ma-houseboy na wakata michongoma wanaongea English..
Magufuli amesoma shule kwa kutumia lugha ya kiingereza. Miaka 7 ya shule ya msingi amesoma kiingereza kama somo, miaka 4 ya O level masomo karibu yote amesoma kwa kiingereza, miaka 2 ya A level amesoma kwa kiingereza , chuo kikuu miaka 10 amesoma kwa kiingereza. Inakuwaje asijue kiingereza lugha aliyotumia kusomea? Huyu ni kilaza mkubwa na tuna mashaka makubwa na elimu yake. Putin amesoma kwa kirusi hivyo hawajibiki kujua kiingereza.Wewe tu unashobokea kiingereza kamuulize swali hilo Putin atakupa jibu.
Mkuu tulitawaliwa tukafundishwa kila aina ya hulka na baadhi ni za kipuuzi sana.akili za kikoloni bado sana waafrika!
Mawazo mfuKuna 'Mgombea' Mmoja hivi ( bahati mbaya Jina lake limenitoka ghafla tu ) nami natamani kweli kweli akishamaliza tu Ratiba yake ya Kugawa 'Kopi' za 'Vinyago' vyenye Mbuga zetu za Wanyama kwa Wageni wake Waalikwa basi nae akatishe zake aende Kupiga 'Stori' mbili tatu hivi na Balozi wa Marekani kama ambavyo leo 'Mgombea' Tundu Lissu amefanya.
Na huyu 'Mgombea' ambaye natamani nae akafanye hayo 'Mazungumzo' na Balozi huyo basi aruhusu 'Wanahabari' wote wamuweke 'Mubashara' kabisa ili Wananchi tumsikie nae akitema 'Ung'eng'e' wake ambao utamzidi alionao Tundu Lissu. Na inasemekana kuwa huyu 'Mgombea' Yeye ndiyo 'Kihistoria' ameanza Kutangulia kwenda Ulaya hasa hasa Ujerumani kuliko Mwenzake Lissu.
Kama kingeleza ingekua ndo tija kwa mtoa maada bas nae angeleta mada kwa lugha hiyoKingereza hakijawahi kunijengea hata kilomita moja ya barabara ya lami
Nani huyo hajui kuongea kiingereza...na wewe unajua? Ingawa kutojua kuongea kiingereza na lugha nyingine isiyo mother tongue siyo aibu kabisa...ila kwa wenye kasumba na wasioelimika ndio huona aibu kutojua kuongea lugha isiyo yao..wana inferiority complex..Hivi hamuoni aibu !!!
Lijitu limesoma kiingereza toka primary school hadi PhD lipate na lisijue kabisa kuongea kiingereza?
Huyo mtu atakuwa mgonjwa kichwani
Mtwambie basi kama Kiingereza siyo muhimu, huyo mnayemtetea kwa kificho thesis zake aliandika kwa Kisukuma?Duh...yaani wewe kweli hujaelimika....yaani bado unafikiri kufahamu kiingereza ndiyo sifa?! Nenda mwananyamala na kinondoni utawakuta wamalawi wengi ma-houseboy na wakata michongoma wanaongea English..
Duh..wewe umesoma?! Na unajua kiingereza?! Mimi sijasoma na English siijui...ninayo ya kuombea maji...haya tujadiliane hapa English Mimi na wewe uliyesoma na unayejua kiingereza...Mimi sitaona aibu...nataka waone tu..Magufuli amesoma shule kwa kutumia lugha ya kiingereza. Miaka 7 ya shule ya msingi amesoma kiingereza kama somo, miaka 4 ya O level masomo karibu yote amesoma kwa kiingereza, miaka 2 ya A level amesoma kwa kiingereza , chuo kikuu miaka 10 amesoma kwa kiingereza. Inakuwaje asijue kiingereza lugha aliyotumia kusomea? Huyu ni kilaza mkubwa na tuna mashaka makubwa na elimu yake. Putin amesoma kwa kirusi hivyo hawajibiki kujua kiingereza.
Elimu yake kasoma kwa kiingereza..swali kwa nini hajui..au Ben Saanane aliona mbaliakili za kikoloni bado sana waafrika!
Huo Ni Umagu.Kingereza hakijawahi kunijengea hata kilomita moja ya barabara ya lami
Katika hili la lugha, adui yetu ni CCM.Shida ipo Sana hasa nyie mnaotukuza English...unadhani Putin anazungumza English? Unadhani marais wote wanazungumza English?
Museveni aisaidi kumlainishia bado alishindwa kichwa ngumuSasa kama huyo mgombea akienda au akafutwa huko aliko akiulizwa juu ya mambo ya independent, impartial free and fair election, atajibuje? Kwamba kama anapendelewa hilo liko juu ya uwezo wake au ajibu nini? Ya nini ajifungie paka shingoni?
Wakijadiliana na WB, IMF & DFID,DANIDA,UsAid na wengineo huwa mnatumia mandarini!?Kingereza hakijawahi kunijengea hata kilomita moja ya barabara ya lami
Shida ni wewe na wenzio mnaoleta hoja za lugha Kama silaha...shida ni nyie pia mnaodhani huyo mliomtaja hajui English..shida ni nyie wenye mawazo mfilisi mnaotupia Kila aina ya lawama kwa CCM...shida ni nyie mliokata tamaa na msioridhika kwa chochote...shida ni nyie ambao mko tayari kuiuza nchi...nyie iko kwenu mnaoteseka na ushindi wa CCM was muda na hamna mikakati ya kuiondoa madarakani isipokuwa kwa mikakati ya kwamba Fulani hajui kuzungumza English.Katika hili la lugha, adui yetu ni CCM.
Luvha ya kufundushia shuleni na Vyuoni huko kwa Putin, kuanzia Chekechea mpaka Uzamivu, PhD, ni Kirusi.
Huku kwetu, CCM inalazimisha kutumia Kiingereza kuanzia Kidato cha Kwanza mpaka Uzamivu, PhD, wakati Chekechea na Shule za Msingi ni Kiswahili.
Kwa nini Kiswahili kisitumike mpaka Shahada ya Uzamivu?
Matokeo yake, Rais wetu mpendwa John Magufuli, ana Shahada ya Uzamivu, aliyosoma kwa Kiingereza, bila kukijua hicho Kiingereza chenyewe.
Shida ni CCM!
Kuna 'Mgombea' Mmoja hivi ( bahati mbaya Jina lake limenitoka ghafla tu ) nami natamani kweli kweli akishamaliza tu Ratiba yake ya Kugawa 'Kopi' za 'Vinyago' vyenye Mbuga zetu za Wanyama kwa Wageni wake Waalikwa basi nae akatishe zake aende Kupiga 'Stori' mbili tatu hivi na Balozi wa Marekani kama ambavyo leo 'Mgombea' Tundu Lissu amefanya.
Na huyu 'Mgombea' ambaye natamani nae akafanye hayo 'Mazungumzo' na Balozi huyo basi aruhusu 'Wanahabari' wote wamuweke 'Mubashara' kabisa ili Wananchi tumsikie nae akitema 'Ung'eng'e' wake ambao utamzidi alionao Tundu Lissu. Na inasemekana kuwa huyu 'Mgombea' Yeye ndiyo 'Kihistoria' ameanza Kutangulia kwenda Ulaya hasa hasa Ujerumani kuliko Mwenzake Lissu.
Wewe mzee kweli kiazi hapa sindio unamponda kabisa jamaa yako kwa kupitwa na malaya wa mtaani yeye kasoma kingereza zaidi ya miaka kumi mpaka Phd anashindwa kuongea alicho jifunzia wewe Mzee umezidi uboya sasa ficha aibuDuh...yaani wewe kweli hujaelimika....yaani bado unafikiri kufahamu kiingereza ndiyo sifa?! Nenda mwananyamala na kinondoni utawakuta wamalawi wengi ma-houseboy na wakata michongoma wanaongea English..
Tutatuma mwakilishi😂😂Kala maganda.Kuna 'Mgombea' Mmoja hivi ( bahati mbaya Jina lake limenitoka ghafla tu ) nami natamani kweli kweli akishamaliza tu Ratiba yake ya Kugawa 'Kopi' za 'Vinyago' vyenye Mbuga zetu za Wanyama kwa Wageni wake Waalikwa basi nae akatishe zake aende Kupiga 'Stori' mbili tatu hivi na Balozi wa Marekani kama ambavyo leo 'Mgombea' Tundu Lissu amefanya...