GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Watu 120 zaidi wamemtuhumu mwanamuziki wa rap Sean ‘Diddy’ Combs kwa unyanyasaji wa kingono, ubakaji na kutumiwa vibaya kingono.
-
Wakili wa Texas Tony Buzbee amesema kuwa 25 miongoni mwa wateja wake walidhulumiwa wakiwa wangali watoto wenye umri wa miaka 9 -15.
-
Nusu ya idadi hiyo ni wanaume na nusu nyingine wanawake ambao wanatoka zaidi ya majimbo 25 kote Marekani.
-
Hii ni mara ya kwanza kwa ‘Diddy’ kushutumiwa kuwadhulumu watoto kingono.
-
Madai hayo yalianza kati ya 1991 hadi hivi majuzi tu mwaka huu, Bw Buzbee alisema.
-
Wengi wa walalamikaji, alisema, wanadai walibakwa baada ya karamu zilizoandaliwa na Bw Combs ambazo zilifanyika katika kumbi zinazojulikana, pamoja na makazi ya kibinafsi na hoteli.
-
Bw Buzbee alisema hafla hizo ziliandaliwa kusherehekea kuzinduliwa kwa albamu, au sherehe za mkesha wa Mwaka Mpya na sherehe za Siku ya Uhuru wa Marekani.
-
“Mara nyingi, haswa vijana wanaotaka kuingia katika tasnia hiyo, walilazimishwa kufanya aina hii ya tabia kwa ahadi ya kufanywa kuwa nyota au ahadi ya kuwa na Sean Combs kusikiliza kanda yao,” Bw Buzbee alisema.
Chanzo Taarifa: bbcswahili
Waambieni wasione Aibu na Wao kusema kuwa Wamemshtaki kwani nasikia kuna Fidia ya Mabilioni yao watapewa.