GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nikisia kuwa na Wanafunzi wa Chuo Kikuu changu cha Majiniasi tupu cha SAUT Mwanza nilichosoma kati ya mwaka 2006 hadi 2009 nao wamefanya huu Upuuzi na Ushamba nitaumia, nitasikitika na nitaanza kuona kuwa sasa Wakatoliki wamepunguza Umakini wa Kitaaluma na Malezi kwa Wanafunzi.
Kama hujasoma au husomi SAUT Mwanza nakupa Pole sana na kamwe huwezi kuwa Genius kama GENTAMYCINE Oky?
Kama hujasoma au husomi SAUT Mwanza nakupa Pole sana na kamwe huwezi kuwa Genius kama GENTAMYCINE Oky?