Je, na Wanajeshi Wastaafu wa nchi nyingine Barani Afrika nao wako 'Fiti' Kiafya na Kiukakamavu kama hawa wa Israel?

Je, na Wanajeshi Wastaafu wa nchi nyingine Barani Afrika nao wako 'Fiti' Kiafya na Kiukakamavu kama hawa wa Israel?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kuna wa nchi moja Barani Afrika (kwa sasa nimeisahau) nina uhakika Taifa hilo likiingia Vitani na kuita/kuwaita Wanajeshi wake Wastaafu watakaorudi wote watakuwa ni Wagonjwa wa Kisukari, Figo, Ini, TB, HIV na BP, wanywa gongo maarufu vilingeni na wapiga debe vituoni.
 
Waliopo on duty wengi wao firigisi na bia vimeshawaotesha nundu za maana.

Hao wastaafu wamestaafu kweli kweli. Tena wengi wakishastaafu wanaugua balaa
 
Back
Top Bottom