Je, na wewe Jumapili yako ya tarehe 16/10/2022 ilikuwa nzuri kama yangu?

Je, na wewe Jumapili yako ya tarehe 16/10/2022 ilikuwa nzuri kama yangu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Tanzania Simba SC yangu imeshinda na kuvuka (kufuzu) Makundi ya Klabu Bingwa Afrika (CAFCL).

2. Uingereza timu yangu pendwa ya Liverpool FC imemfunga mpinzani mpya Manchester City.

3. Sudan timu inayonivutia ya Al Hilal FC imeweza kuifunga klabu ninayoichukia kuliko hata ninavyomchukia Shetani ya Yanga SC na kuitoa katika ligi ya wanamume na wanaojua pekee ya Klabu Bingwa Afrika (CAFCL).
 
Back
Top Bottom