Exile
JF-Expert Member
- Feb 21, 2021
- 1,477
- 3,642
Mtu unakuta ameweka masetting kibao whatsapp ambayo ukimtumia kitu ndani ya masaa 24 kinajifuta bahati mbaya yeye hakuwa online au alipo mtandao unasumbua, Mtu mwenyewe ni jobless halafu badae anakuja kukusumbua nitumie tena binafsi sisumbuki tena kutuma hata apige magoti, na imekaa kitapeli kwa wafanyabiashara wa online anaweka hivo ili hata akikutapeli ukose meseji za ushahidi
Wengine wamekwekea masharti kwenye status zao wewe zao unaziangalia tu lakini wewe ukiweka yeye anaona kimya kimya hawa mimi nawamute tu haiwezekani mtu aniwekee masharti ya kijinga kama hataki afute namba yangu.