Makundi yafuatayo;
1. Matapeli
2. Malaya
3. Mashoga
4. Wadhulumaji.
Hivi, imagine mtu anakopa hela, anakuandikia sms 'Ndugu yangu, nakuomba uniazime laki tano. Kuna mambo yangu niyamalize, nitarudisha baada ya wiki tatu'.
Pale chini linakuja notitication ya timer ya 24 hours. Kabla hujamjibu, unajaribu kubadili timer lakini anarudisha. Kristo!!. Haki ya Mungu sikupi, unataka kunikosesha ushahidi?
The good thing is, WhatsApp wameweka option ya kubakiza ujumbe usiotaka ufutike pale timer ya mhusika inapotimia.
Status siyo ishu.