Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Mimi ninaona una tamaa ya "mavitus"...............angalia umeongelea ana nyumba amejenga hapo Dar................wala siyo kitu muhimu ...........umezungumzia mshahara wako.........hilo ni muhimu kuwa hivi una sababu gani kuandamana na mwanaumme ambaye hata yeye huko ni mgeni .....kwa nini miaka yote hiyo hajapata uraia?
Mara nyingi mpenzi anayeonekana mpole na hajawahi kukukasirisha ujue ana mambo mengi anakuficha................ushauri wangu huyo anajihusisha na shughuli ambazo sizo za halali huko nje na wewe atakutumbukiza huko bila ya wewe kujua...............
Nimeshangaa umeongelea mali, elimu.....n.k mbona hujazungumzia ndugu na marafiki zake kama umekwisha kuonana nao?
Ni watu wa namna gani..marafiki wake wakoje...............utajifunza zaidi juu ya huyu mpenzi mpya kwa kuwafahamu watu ambao anaopenda wamzunguke.....ushauri wangu usiinue guu kwenda huko na huyo jamaa iwe mwisho kwa sababu yaelekea anakuficha mengi mno.....na huo wepesi wa kubadilisha dini ni lazima machale yakucheze......usifikiri ulaini anaokupa ni wa kudumu.................Be strong and stick with your knave..ni msalaba wako huo dada usitafute shari nyingine kubwa zaidi ya uliyonayo..........Ciao for now