Enny
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 962
- 130
Jitahidi katika maamuzi yako usije ukamharibia maisha mtoto wako. Kwani atakuja kukulaumu katika maisha yake. Kwani ukitaka kwenda usa kutembea kwa pesa yako kama umesevu huwezi? Fikiria kwa makini dada. Na huyo baba mtoto kuwa naye mbali ukitulia utapata mume wa maana.